Category : Shambani

Kitabu Kipya: Mwongozo wa Kilimo cha Tikiti Maji

Je unataka kulima zao la tikiti maji kitaalamu na kwa faida? Jipatie nakala yako sasa. Baadhi ya Yaliyomo kwenye Kitabu hiki: Utajifunza shughuli zote za shambani kuanzia kuandaa shamba, upandaji,

Continue reading

KILIMO UHAKIKA – Karibu tufanye kazi

Kilimo Uhakika (KiU) ni mpango wa mafunzo na ushauri wa kilimo, ambapo mshauri wako wa kilimo Kocha Daudi Mwakalinga akishirikiana na wataalamu wengine wa kilimo.net Wanakupa mafunzo na mwongozo wa

Continue reading

Semina ya Kilimo: Wahi Nafasi Hii ya Upendeleo

Habari ndugu Mjasiriamali wa Kilimo, Semina yetu ya Kilimo Biashara kupitia njia ya Mtandao, tayari imeshaanza tokea jumatatu, na washiriki wana hamasa kwelikweli, Watu waliojitokeza ni wengi, tunawashiriki zaidi ya

Continue reading

WAFAHAMU WALIMU WA SEMINA -2

Habari za leo mjasiriamali wa kilimo, leo tumekuletea awamu ya pili ya wasifu wa waalimu/wawezeshaji watakakaofundisha Semina ya Kilimo Biashara kupitia njia ya mtandao (online Training). Awamu ya kwanza tuliona

Continue reading

WAFAHAMU WALIMU WA SEMINA YA KILIMO BIASHARA KWA NJIA YA MTANDAO

Habari ndugu mjasiriamali wa kilimo. Tukiwa tunaendelea na maandalizi ya semina ya kilimo biashara kupitia mtandao, tunapenda kuwatambulisha kwenu baadhi ya walimu watakao fundisha semina hii. Kusema kweli tumekuandalia walimu

Continue reading

SEMINA YA KILIMO BIASHARA KWA NJIA YA MTANDAO

Habari ndugu mjasiriamali wa Kilimo, ni matumaini yetu kwamba unaendelea vyema na mapambano ya kuelekea kwenye mafanikio. Mtandao wa Kilimo Biashara (kilimo.net) unatarajia kuendesha mafunzo ya kilimo na masoko kupitia

Continue reading

Jipatie Miche ya Papai – Aina ya Calina 9Ipb

Habari njema kwa wakulima wa Mwanza. Sasa wakazi wa Mwanza wanaweza kupata miche ya papai kwa ukaribu zaidi. Miche hii ni ile ya papai fupi, inayoitwa Calina 9Ipb. Huzaa ikiwa

Continue reading