Kitabu Kipya: Mwongozo wa Kilimo cha Tikiti Maji

Kitabu Kipya: Mwongozo wa Kilimo cha Tikiti Maji

Je unataka kulima zao la tikiti maji kitaalamu na kwa faida? Jipatie nakala yako sasa.
Baadhi ya Yaliyomo kwenye Kitabu hiki:

  • Utajifunza shughuli zote za shambani kuanzia kuandaa shamba, upandaji, umwagiliaji, uwekaji mbolea, palizi, uvunaji n.k
  • Vigezo vya kuzingatia katika uchaguaji wa shamba zuri pamoja na mbegu nzuri
  • Utawafahamu Wadudu waharibufu na namna ya kuwadhibiti kikamilifu, pia Magonjwa yanayoathiri sana tikiti maji na namna ya kuyathibiti
  • Utajifunza uchavushaji (pollination) kwenye zao la tikiti maji na namna unavyoweza kuongeza uchavushaji na kuongeza mavuno hadi 80%
  • Masoko: Utaelewa mienendo ya bei, kipindi chenye bei nzuri, kipindi chenye bei mbaya na sababu zake. Hii itakusaidia kujua wakati sahihi wa kupanda zao la tikiti ili upate faida nzuri Zaidi.
  • Utajifunza namna unavyoweza kutumia simu yako kujua bei za tikiti kwenye masoko yote hapa Tanzania. Yaani bei za siku hiyo kwenye masoko yote makubwa hapa Tanzania utaweza kuzijua kupitia simu yako. Pia utajifunza namna ya kutafuta wanunuzi kupitia simu yako, yaani utajua namna ya kupata mawasiliano (namba za simu) ya wanunuzi kutoka masoko mbalimbali. Kwenye kitabu hichi utajifunza hayo yote.
  • Master plan: Hapa mwandishi amekuwekea mpangilio wa shughuli zote, tena hatua kwa hatua kuanzia kupanda hadi kuvuna. Utafahamu nini kianze na kipi kifuate.
  • Uchambuzi wa gharama na Faida: Hapa utapata kufahamu rasilimali zote zinazohitajika na gharama zake, pia utajua faida utakayopata.

Kujifunza hayo pamoja na mengine mengi, jipatie nakala yako sasa. Kitabu hichi ni Elfu Kumi (10,000/= tu ). Kitabu hiki utatumiwa popote pale ulipo Tanzania. Kwa walioko nje ya mkoa wa Dar, Morogoro na Arusha, watatumiwa kitabu kwa njia ya basi.

Mawasiliano kwa ajili ya Kupata nakala yako ya Kitabu:
Morogoro 0752 255774 (Noel)
Arusha/Moshi 0654 726668 (Jacob)
Dar
Shekilango: Trinity Bookshop, opposite na Rombo Greenview Hotel – 0653621581
Mbagala: 0717327318 (Omary)
Mlimani City: 0763071007 (Daudi)
Email: ushauri@kilimo.net

Response to "Kitabu Kipya: Mwongozo wa Kilimo cha Tikiti Maji"

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *