SEMINA YA KILIMO BIASHARA KWA NJIA YA MTANDAO
Habari ndugu mjasiriamali wa Kilimo, ni matumaini yetu kwamba unaendelea vyema na mapambano ya kuelekea kwenye mafanikio. Mtandao wa Kilimo Biashara (kilimo.net) unatarajia kuendesha mafunzo ya kilimo na masoko kupitia
Kuhusu Kilimo Biashara
Kilimo Biashara ni mtandao (Blog) ambao upo kwa ajili ya kutoa mafunzo na taarifa kwa wajasiriamali wa kilimo ili kuwasaidia kuzalisha kwa ubora na kufanya biashara ya kilimo kwa faida.