Category : Teknolojia na kilimo

Vifaa vya Drip Irrigation

Vifaa vya Drip Irrigation

Karibu Upate Huduma ya kufungiwa Drip Irrigation kwenye shamba lako kwa bei nafuu kabisa. Tunazo Drip maalamu kwa ajili ya mbogamboga kama Nyanya, Hoho, Vitunguu, nk. Vilevile tunazo Drip maalum

Continue reading

Teknolojia ya umwagiliaji wa matone (Drip Irrigation Technology)

Hii ni njia ya kumwagilia mmea kwa kutumia tone (matone) la maji kwa muda husika, ambapo bomba dogo huundwa kwa kuwekewa matundu madogo madogo kwa kuzingatia mmea ulipo kwaajili ya

Continue reading

OFA! OFA! OFA! Pata Greenhouse kwa bei ya Punguzo – October 2017

Habari mjasiriamali wa kilimo Hivi karibuni tulitoa mafunzo ya killimo cha kisasa cha kutumia teknolojia ya Greenhouse. Mrejesho kutoka kwa wasomaji ulikua ni mkubwa na watu wengi walionyesha kufurahia sana

Continue reading

Habari Njema: Kitabu Kipya cha Tikiti Maji sasa kupatikana kwa njia ya Mtandao

Habari njema, Kitabu kipya cha Tikiti Maji sasa kinapatikana kwa njia ya mtandao (email, telegram, na Whatsapp). Baada ya maoni ya wadau (hususani walioko mbali) kuhusu kupata nakala za kitabu

Continue reading

KILIMO UHAKIKA – Karibu tufanye kazi

Kilimo Uhakika (KiU) ni mpango wa mafunzo na ushauri wa kilimo, ambapo mshauri wako wa kilimo Kocha Daudi Mwakalinga akishirikiana na wataalamu wengine wa kilimo.net Wanakupa mafunzo na mwongozo wa

Continue reading

Kuhusu Kilimo Biashara

Kilimo Biashara ni mtandao (Blog) ambao upo kwa ajili ya kutoa mafunzo na taarifa kwa  wajasiriamali wa kilimo ili  kuwasaidia kuzalisha kwa ubora na kufanya biashara ya kilimo kwa faida.

Continue reading