Vifaa vya Drip Irrigation
Karibu Upate Huduma ya kufungiwa Drip Irrigation kwenye shamba lako kwa bei nafuu kabisa. Tunazo Drip maalamu kwa ajili ya mbogamboga kama Nyanya, Hoho, Vitunguu, nk. Vilevile tunazo Drip maalum kwa ajili ya matunda kama papai, pesheni, migomba nk
Pia kwa wale wanaohitaji vifaa tu na kwenda kufunga wenyewe, vifaa pia vipo kwa bei nzuri kabisa..
Vifaa vinavyopatikana ni kama; Drip tape, Blind pipe, Start connector, Rubber, Fast connector, End cap, Filter, gate valve, adjustable emmiters/drippers, na vingine vingi tu.
Tunapatikana hapa nyuma ya Tanzanite Tower (Lufungira) iliyopo karibu na Mlimani City, Dar. Kwa Mawasiliano tucheki kupitia 0763 071007. Karibu sana ujipatie vilivyo bora.
Response to "Vifaa vya Drip Irrigation"
shillas24@gmail.com
Naomba bei ya green house ya 8 by 32m.
Kwa Arusha mnapatikana wapi?
weka mchanganuo wa bei!
Asante
Hello naitwa Ally, na nahtaji drip installation kea ajili ya shamba langu jipya kea watermelon miche 1000
Hello naitwa Ally, na nahtaji drip installation kea ajili ya shamba langu jipya kea watermelon miche 1000
Vitunguu Eka 3. Cabbage Eka 5 nyanya Eka 2 tikiti Eka 8
Shilling ngapi itagharimu.
Naitwa mrishorunguya@gmail.com nahitaji mfumo mzima wa hekari moja, Niko goweko(tabora),unauzwaje?
Nahitaji mfumo wa hekari moja ya nyanya wenye uwezo wa kutumia water pump ya jenereta badaala ya sin tank.bei gani?
Nahitaji kujua gharama za vifaa vya umwagiliaji kwa njia ya matone kwenye eneo LA ekari moja
Hellow nahitaji kujua bei ya drip roller moja zima la meter 500 tafadhali.
luandajoseph300@gmail.com
Hello naitwa HILAL niko njombe nahitaji mfumo mzima wa drip kwa ajili ya shamba la parachichi ekal.35 ni Bei gani
Habari na hongereni kwa Kazi nzuri.
Nahitaji huduma ya drip irrigation kwa ajili ya nyanya (ekari 15). Pia green house kwa ajili ya kupandia mbegu. Naomba mchanganuo wa gharama zenu.
Mawasiliano ni ngowi.tumainiel@gmail.com
Asante na watakia utendaji mwema.