Eliza: Mkulima wa Papai
Leo tunakwenda kumwangazia mkulima Eliza, mwandada mwenye dhamira ya kufanya makubwa kwenye kilimo. Baada ya miezi kadhaa ya kufanya kazi na Eliza kwenye project yake ya Papai, sasa hivi Eliza
VITABU: OFA Maalumu kwa Mwezi February 2020
OFA Maalumu kwa mwezi February 2020. Sasa unaweza kupata Vitabu 3 kwa punguzo kubwa la bei la 20,000 unapata vitabu vyote 3 badala ya bei yake halisi ya 45,000 Vitabu
Aina za machungwa zinazozalishwa nchini Tanzania
Kuna aina nyingi sana za machungwa zinazozalishwa kote dunia. Hizi ni baadhi ya aina za machungwa yanayozalishwa nchini Tanzania. 1. Late Valencia: Aina hii ya machungwa huchelewa kukomaa hivyo kumpa
Jipatie Muongozo wa Kilimo cha Vitunguu Swaumu
Habari za leo Mjasiriamali wa kilimo, mtandao wako wa kilimo.net unakuletea Muongozo wa kulima Kitaalamu zao la Vitunguu swaumu (Master Plan) pamoja na Mchanganuo wa gharama na faida za kilimo
Ongeza Mavuno ya Tikiti Maji kwa Asilimia 80%
Leo ni siku nyingine ambapo tunaendelea kujifunza somo letu kuhusu kilimo cha matikiti maji, kwenye somo lililopita nilikuahidi kuendelea kudadavua mambo muhimu kwenye kilimo cha tikiti kabla hatujaanza zao lingine.
OFA! OFA! OFA Maalumu – mwisho 31. Dec.2019
Ile Ofa maalumu imerudi tena. Kwa msimu huu wa sikuu za mwisho wa mwaka tunakuletea OFA maalumu ya kupata vitabu 3 vya kilimo kwa punguzo la zaidi ya asimia 70
KANUNI ZA UPANDAJI MBOGA NA MATUNDA
Utangulizi Upandaji mboga na matunda katika maeneo mengi ya nchi yetu unazidi kukua siku hadi siku. Bidhaa au mazao yanayopatikana katika sehemu hizi huuzwa katika masoko ya humu nchini na
Faida za Kilimo cha Miembe (Milioni 8 kwa ekari 1 tu)
Embe ni tunda maarufu na limekuwa likitambulika kama mfalme wa matunda. Matunda ya embe yanatumika yakiwa mabichi au yameiva. Matunda yaliyoiva yanaliwa kama tunda au pia yanaweza kutengenezwa juisi na
OFA! OFA ! OFA! Miche ya Matunda
MICHE YA MATUNDA ILIYOBORESHWA. Je unataka kuwekeza kwenye Kilimo cha miti ya matunda chenye faida? Kigezo muhimu sana cha kuzingatia, ni kupanda miche bora yenye uhakika. Kilimo Biashara tunakuletea miche
Jipatie Miche bora ya Papai za kisasa
Jipatie miche ya Papai za kisasa, iliyoandaliwa kitaalamu. Miche ya Papai za Kisasa (Malkia F1) Miche iliyoandaliwa kitaalamu (Kwa kuzingatia kanuni za uzalishaji miche) Miche yenye afya nzuri (haina wadudu