OFA! OFA ! OFA! Miche ya Matunda
MICHE YA MATUNDA ILIYOBORESHWA.
Je unataka kuwekeza kwenye Kilimo cha miti ya matunda chenye faida? Kigezo muhimu sana cha kuzingatia, ni kupanda miche bora yenye uhakika.
Kilimo Biashara tunakuletea miche yenye ubora na iliyozalishwa kitaalamu, kwa bei ya Ofa
Sifa za miche yetu ni kama:
- NI miche ya kisasa (Iliyoboreshwa)
- Ni miche ya muda mfupi (inawahi kuzaa matunda)
- Haina magonjwa (imezalishwa na kutunzwa kitaalamu)
- Miche original (kama ni embe Apple ni Apple kweli, kama ni Papai Mlakia F1 ni Malkia F1 kweli)
- Mavuno ya uhakika na ni makubwa
Miche tuliyonayo ni papai, miembe, miparachichi, michungwa, mipesheni, Mipera, limao, michenza, migomba/ndizi, mastafeli, mifenesi, mitopetope, nk
Miche yetu hii kwa sasa inapatikana kwa OFA ya punguzo la bei kama ifuatavyo.
Papai fupi (Malkia F1), ofa ni: 2,500 kwa mche badala ya 3,500
Miembe, Michenza, Migomba, Parachichi na Michungwa ofa ni: 2,500 kwa mche badala ya 3,000
Mipera, mipesheni, Mifenesi, ofa ni: 2,000 kwa mche badala ya 2,500
Pamoja na Miche utapatiwa Maelekezo na ushauri wa kitaalamu wa namna ya kupanda na kuitunza miche yako mpaka utakapovuna, (tutaendelea kukupa ushauri hadi mavuno)
Vitalu vyetu vya miche vinapatikana Dar na Morogoro. Kwa Dar, tupo hapa Ubungo Mawasiliano., Mlimani City na Mabwepande. Pia tunafanya delivery kwa wakazi wa Dar, (kuanzia miche 50 tunakuletea kwa gharama nafuu kabisa)
Kwa wateja wa mikoani tunatuma, na miche inafika salama kabisa.
.
NB: OFa hii inaisha 10.12.2019.
Mawasiliano: Simu 0763 071007
Email: ushauri@kilimo.net
Website: www.kilimo.net
Response to "OFA! OFA ! OFA! Miche ya Matunda"
Give me types banana that you have please.
we have several varieties such as Mzuzu, Malindi, Mshare, Bukoba, Kisukari etc. You can call us via 0763 071007. You are welcome boss