VITABU

VITABU

Je unapenda kuwekeza kwenye kilimo cha muda mfupi na chenye faida kubwa? Je wajua tikiti maji, vitunguu, nyanya ni mazao ya muda mfupi yanayo ongoza kwa kuleta faida kubwa kwa wakulima wengi? Je ungependa kujifunza namna na wewe unavyoweza kutengeneza faida nzuri kupitiamazao haya? Kama jibu lako ni NDIO basi Jipatie nakala za vitabu hivi vya kilimo cha Nyanya, vitunguu, na tikiti maji
 
1. Mwongozo wa KILIMO CHA VITUNGUU MAJI

Baadhi ya Yaliyomo kwenye Kitabu hiki:

  • Utajifunza namna ya kuandaa kitalu bora cha miche ya vitunguu na jinsi ya kutunza kitalu hadi kuhamisha miche kwenda shambani
  • Utajifunza shughuli zote za shambani kkama kuandaa kitalu, shamba, upandaji, umwagiliaji, uwekaji mbolea, palizi, uvunaji n.k
  • Vigezo vya kuzingatia katika uchaguaji wa shamba zuri pamoja na mbegu nzuri
  • Utazijua aina za mbegu mbalimbali na utazijua mbegu nzuri zinazofanya vizuri maeneo mengi na kampuni zinazotengeza mbegu hizo
  • Utawafahamu Wadudu waharibufu na namna ya kuwadhibiti kikamilifu, pia Magonjwa yanayoathiri sana Vitunguu maji na namna ya kuyathibiti
  • Masoko: Utaelewa mienendo ya bei, kipindi chenye bei nzuri, kipindi chenye bei mbaya na sababu zake. Hii itakusaidia kujua wakati sahihi wa kupanda zao la vitunguu ili upate faida nzuri Zaidi.
  • Utajifunza namna unavyoweza kutumia simu yako kujua bei za Vitunguu kwenye masoko yote hapa Tanzania. Yaani bei za siku hiyo kwenye masoko yote makubwa hapa Tanzania utaweza kuzijua kupitia simu yako.
  • Wanunuzi: utajifunza namna ya kutafuta wanunuzi wa vitunguu kupitia simu yako,
  • Master plan: Hapa mwandishi amekuwekea mpangilio wa shughuli zote, tena hatua kwa hatua kuanzia kupanda hadi kuvuna. Utafahamu nini kianze na kipi kifuate.
  • Uchambuzi wa gharama na Faida: Hapa utapata kufahamu rasilimali zote zinazohitajika kwa zao la kitunguu na gharama zake, pia utajua faida utakayopata.

Namna ya Kupata nakala yako:
Kitabu hikikinapatikana kwa njia ya mtandao (email, telegram, au Whatsapp) Yaani unatumiwa kwenye email au whatsapp. Kwa sasa kitabu hiki kinapatikana kwa bei ya OFA ya 10,000 tu badala ya 15,000.
Unafanya malipo ya 10,000 Kwa mpesa 0763 071007 au Tigo pesa 0712578307 (Jina Litaonyesha Daudi Mwakalinga)
Ukishafanya malipo unatuma Ujumbe wenye Jina na email yako kwenda 0763 071007 au 0712 578307. Kama huna email na ungependa kutumiwa Kitabu kwa Whatsapp au Telegram basi utatuma ujumbe WhatsApp au Telgram kwenda namba 0763 071007
Wahi Ujipatie nakala yako bei ya OFA.
2. Mwongozo wa KILIMO CHA TIKITI MAJI

Baadhi ya Yaliyomo kwenye Kitabu hiki:

  • Utajifunza shughuli zote za shambani kuanzia kuandaa shamba, upandaji, umwagiliaji, uwekaji mbolea, palizi, uvunaji n.k
  • Vigezo vya kuzingatia katika uchaguaji wa shamba zuri pamoja na mbegu nzuri
  • Utawafahamu Wadudu waharibufu na namna ya kuwadhibiti kikamilifu, pia Magonjwa yanayoathiri sana tikiti maji na namna ya kuyathibiti
  • Utajifunza uchavushaji (pollination) kwenye zao la tikiti maji na namna unavyoweza kuongeza uchavushaji na kuongeza mavuno hadi asilimia themanini (80%)
  • Masoko: Utaelewa mienendo ya bei, kipindi chenye bei nzuri, kipindi chenye bei mbaya na sababu zake. Hii itakusaidia kujua wakati sahihi wa kupanda zao la tikiti ili upate faida nzuri Zaidi.
  • Utajifunza namna unavyoweza kutumia simu yako kujua bei za tikiti kwenye masoko yote hapa Tanzania. Yaani bei za kila siku za kwenye masoko yote makubwa hapa Tanzania utaweza kuzijua kupitia simu yako.
  • Pia utajifunza namna ya kutafuta wanunuzi kupitia simu yako, yaani utajua namna ya kupata mawasiliano ya wanunuzi(namba zao za simu) kutoka masoko mbalimbali. Kwenye kitabu hichi utajifunza hayo yote.
  • Master plan: Hapa mwandishi amekuwekea mpangilio wa shughuli zote, tena hatua kwa hatua kuanzia kupanda hadi kuvuna. Utafahamu nini kianze na kipi kifuate. madawa yote, mbolea zote, na shhguli nyingine zote zipo
  • Uchambuzi wa gharama na Faida: Hapa utapata kufahamu rasilimali zote zinazohitajika na gharama zake, pia utajua faida utakayopata.

Namna ya Kupata nakala yako:
Kitabu hikikinapatikana kwa njia ya mtandao (email, telegram, au Whatsapp) Yaani unatumiwa kwenye email au whatsapp. Kwa sasa kitabu hiki kinapatikana kwa bei ya OFA ya 10,000 tu badala ya 15,000.
Unafanya malipo ya 10,000 Kwa mpesa 0763 071007 au Tigo pesa 0712578307 (Jina Litaonyesha Daudi Mwakalinga)
Ukishafanya malipo unatuma Ujumbe wenye Jina na email yako kwenda 0763 071007 au 0712 578307. Kama huna email na ungependa kutumiwa Kitabu kwa Whatsapp au Telegram basi utatuma ujumbe WhatsApp au Telgram kwenda namba 0763 071007
Wahi Ujipatie nakala yako bei ya OFA.
 
3.KILIMO CHA NYANYA

 
Baadhi ya Mambo utakayojifunza kwenye Kitabu cha KILIMO CHA NYANYA:

  • Utajifunza kuhsu sifa za udongo, Mazingira, hali ya hewa, inayofaa kwa ajili ya kilimo cha Nyanya.
  • Aina za nyanya, na nyanya zinazofaa kwa biashara.
  • Utajifunza namna ya kuandaa kitalu kizuri cha nyanya.
  • Utafahamu aina 3 za matuta ya vitalu vya miche ya nyanya, vilevile utafahamu namna ya kutunza miche kitaluni.
  • Utajifunza Kanuni na Mbinu za kuhamisha miche toka Kitaluni kwenda shambani. Hii itasaidia kuepuka miche kufa baada ya kuhamishia shambani. Miche yako itastawi vizuri
  • Utazifahamu na kujifunza mbinu mbalimbali za utunzaji wa shamba lako ili kuongeza uzalishaji.
  • Utafahamu wadudu na magonjwa sumbufu kwenye nyanya, na namna ya kuyathibiti.
  • Uvunaji, na utunzaji wa nyanya baada ya kuvuna. Utajifunza namna ya kuepuka upotevu wa nyanya baada ya kuvuna
  • Masoko: Hapo utafahamu masoko mbalimbali ambapo nyanya zinauzika.
  • Mienendo ya Bei; Utajifunza namna bei za nyanya zinavyobadilikabadilika kwa mwaka mzima. Kipindi gani cha Bei nzuri na kipindi cha bei ndogo
  • Utajifunza namna ya kupata taarifa za soko na wanunuzi kwa kutumia simu yako ya simu: Hapa utaweza kupata mawasiliano ya wanunuzi wa nyanya kupitia simu yako. Pia bei za kila siku za nyanya kutoka kwenye masoko makubwa hapa nchini.
  • Utafahamu ni msimu gani mzuri wa kupanda nyanya ili kukutana na bei nzuri sokoni na wewe unufaike kwa faida kubwa.
  • Utafhamu mchanganuo wa gharama na faida kwenye kilimo cha nyanya ekari moja. Hii itakupa picha, kujua kiasi cha mtaji unachopaswa kuwa nacho ili kulima nayanya, Pia utafahamu faida utakayopata.Namna ya Kupata nakala yako:Kitabu hikikinapatikana kwa njia ya mtandao (email, telegram, au Whatsapp) Yaani unatumiwa kwenye email au whatsapp. Kwa sasa kitabu hiki kinapatikana kwa bei ya OFA ya 10,000 tu badala ya 15,000.
    Unafanya malipo ya 10,000 Kwa mpesa 0763 071007 au Tigo pesa 0712578307 (Jina Litaonyesha Daudi Mwakalinga)
    Ukishafanya malipo unatuma Ujumbe wenye Jina na email yako kwenda 0763 071007 au 0712 578307. Kama huna email na ungependa kutumiwa Kitabu kwa Whatsapp au Telegram basi utatuma ujumbe WhatsApp au Telgram kwenda namba 0763 071007
  • Wahi Ujipatie nakala yako bei ya OFA. 
     
    OFA ZAIDI:
  • Ukichukua vitabu 2 utapatiwa kitabu cha tatu bure kabisa. Mfano ukichukua Vitabu vya Kilimo cha vitunguu na Nyanya, basi utapatiwa kitabu cha Tikiti maji bure. Hivyo kupata vitabu vyote 3, utalipia 20,000/= tu badala ya 30,000/=

Kwa ushauri kuhusu kilimo wasiliana nasi kwa:

No comments.