0763071007
Pata Maarifa Bora Ufanikiwe Kwenye Kilimo
Kilimo Biashara ni mtandao (Blog) ambao upo kwa ajili ya kutoa mafunzo na taarifa kwa wajasiriamali wa kilimo ili kuwasaidia kuzalisha kwa ubora na kufanya biashara ya kilimo kwa faida. Kilimo Biashara ipo kwa ajaili ya kuwaunganisha wakulima na pembejeo bora, teknolojia mbalimbali za kilimo pamoja na masoko lenye tija Kilimo Biashara pia inahamasisha watu hasa vijana kujiingiza kwenye kilimo kwa kutumia mbinu za kisasa zinazoendana na wakati wa sasa na ule ujao.
Pata miche ya matunda mbalimbali ya kilimo cha muda mfupi na mrefu
Pata greenhouse kwa gharama nafuu kwa kilimo chenye faida.
Pata mfumo wa kilimo cha umwagiliaji wa matone kwa gharama nafuu.
Pata vitabu bora vya kilimo vitakupa maarifa ya kilimo cha faida.
Jifunze kwa kupitia makala bora za kilimo.
Karibu Upate Huduma ya kufungiwa Drip Irrigation kwenye shamba lako kwa bei nafuu kabisa. Tunazo
Leo tunakwenda kumwangazia mkulima Eliza, mwandada mwenye dhamira ya kufanya makubwa kwenye kilimo. Baada ya
Project ya Greenhouse hapa Dege, Kigamboni Dar, inaendelea vyema. Leo tumekamilisha zoezi la kufunika. Tunaelekea