HUDUMA

UZA NA NUNUA BIDHAA ZA KILIMO.

Uza au nunua bidhaa mbalimbali za kilimo kwenye mtandao huu kama mahindi, mchele, vitunguu, n.k.

Wasiliana Nasi:

Simu 0763 071 007

Barua pepe: sales@kilimo.net

CBA and Master Plan

 
OFA! OFA! OFA!
Punguzo la zaidi ya Asilimia 90% kwenye Huduma Mbili za Kilimo Biashara (CBA na Master Plan). Kutoka 30,000/= (elfu thelathini) hadi 2,500 (Elfu mbili mia Tano). Yaani sasa hivi unapata CBA na Master Plan ya zao moja kwa 2,500 tu badala ya 30,000/= ya hapo awali. Kwa vile lengo letu kubwa ni kuwasaidia wakulima wengi kupata faida kwenye kilimo, tumekuja na mkakati mpya wa kuwafikifikia hata wale waliokua wakitamani kupata Huduma hizi lakini wakashindwa kwasababu ya gharama ya 30,000/= hii ni habari njema sana kwa wakulima wote, hakuna haja ya kupata hasara tena. Yaani 2,500 tu inakusaidia kuokoa… Bonyeza Hapa Kusoma zaidi……
 
 
 

Greenhouse Na Net house

 
Jipatie Greenhouse Na Net house za bei Nafuu:
GREENHOUSE
I. 6m * 12m – Milioni 3.5
II. 8m*15m. – Milioni 5.5
III. 8m*30m – Milioni 10.5
IV. 16m*30m -Milioni 15
2. NET HOUSE – Hii inafaa sana kwa yale maeneo ya joto.
I. 6m * 12m- Milioni 3
II. 8m*15m – Milioni 4
III. 8m *30m- Milioni 9
IV. 16m * 30m – Milioni 12
NB: Tutakufungia Ukubwa wowote unaotaka
Package inakuwa Na:
– Utapewa Elimu Kwanza ya Kutosha Greenhouse/ Net House na Drip Irrigation
-Kujengewa greenhouse / Net house Kwa kutumia Miti Imara ya Miti, inayodumu Kwa…..  Bonyeza Hapa Kusoma Mchanganuo Mzima

Response to "HUDUMA"