KARIBU KWENYE TOVUTI YA KILIMO BIASHARA

Kilimo Biashara ni mtandao (Blog) ambao upo kwa ajili ya kutoa mafunzo na taarifa kwa wajasiriamali wa kilimo ili kuwasaidia kuzalisha kwa ubora na kufanya biashara ya kilimo kwa faida. Kilimo Biashara ipo kwa ajaili ya kuwaunganisha wakulima na pembejeo bora, teknolojia mbalimbali za kilimo pamoja na masoko lenye tija Kilimo Biashara pia inahamasisha watu hasa vijana kujiingiza kwenye kilimo kwa kutumia mbinu za kisasa zinazoendana na wakati wa sasa na ule ujao.

1

MICHE YA MATUNDA

Pata miche ya matunda mbalimbali ya kilimo cha muda mfupi na mrefu

2

GREENHOUSE

Pata greenhouse kwa gharama nafuu kwa kilimo chenye faida.

3

DRIP IRRIGATION

Pata mfumo wa kilimo cha umwagiliaji wa matone kwa gharama nafuu.

4

VITABU

Pata vitabu bora vya kilimo vitakupa maarifa ya kilimo cha faida.

MAKALA ZA KILIMO

Jifunze kwa kupitia makala bora za kilimo.

Umwagiliaji wa Matone kwenye Kilimo cha Mahindi Mabichi (Ya Kuchoma): Njia ya Kuongeza Tija na Faida

1. Utangulizi Kilimo cha mahindi mabichi (ya kuchoma) ni fursa kubwa ya biashara kwa wakulima

Read More

Umuhimu wa Kutumia Drip Irrigation Katika Kilimo cha Mboga kwa Faida Kubwa

UtanguliziKwa mkulima yeyote anayelenga kupata faida kubwa na kupunguza gharama za uzalishaji, mfumo wa drip

Read More

Siri za Kilimo cha Nazi Chenye Faida Kubwa

Sehemu ya 1: Utangulizi Kilimo cha nazi (Cocos nucifera) kimekuwa nguzo muhimu ya maisha ya

Read More