WAFAHAMU WALIMU WA SEMINA -2
Habari za leo mjasiriamali wa kilimo, leo tumekuletea awamu ya pili ya wasifu wa waalimu/wawezeshaji watakakaofundisha Semina ya Kilimo Biashara kupitia njia ya mtandao (online Training). Awamu ya kwanza tuliona
Karibu Kwenye Kilimo Uhakika
Kilimo uhakika ni mpango wa mafunzo na ushauri wa kilimo, ambapo mshauri wako wa kilimo Daudi Mwakalinga anakupa mafunzo na mwongozo wa kuweza kufanya kilimo cha uhakika. Kwa kulipa ada