Jipatie Muongozo wa Kilimo cha Vitunguu Swaumu
Habari za leo Mjasiriamali wa kilimo, mtandao wako wa kilimo.net unakuletea Muongozo wa kulima Kitaalamu zao la Vitunguu swaumu (Master Plan) pamoja na Mchanganuo wa gharama na faida za kilimo
Faida za Drip Irrigation (Umwagiliaji wa matone)
Umwagiliaji wa matone ni mfumo wa kisasa kwa umwagiliaji wa mimea na hasa mazao. Maji hupelekwa polepole kwa mabomba au mipira yenye matundu madogo moja kwa moja hadi kwenye shina laa
OFA ya PASAKA- Mwisho kesho 8.04.2019
Je umeshapata OFA ya PASAKA, ya Vitabu 3? Kama bado wahi mara moja, OFA hii inakwisha kesho Jumapili 8.04.2018Vitabu vilivyopo kwenye OFA ya Pasaka ni vitabu 3:1. Mwongozo wa kilimo
OFA! OFA! OFA! Ni OFA ya PASAKA kwa kila mkulima
Habari za leo mdau wa kilimonatumaini unaendelea vyema. Leo ni siku nyingine ambayo Mwenyezi Mungu ametubariki nayo. Kabla sijakuletea OFA ya Pasaka, napenda kukushirikisha moja ya misingi ya muhimu katika
Jionee Greenhouse mbalimbali zilizofungwa hivi karibuni
Hizi ni baadhi ya greenhouse ambazo tumewafungiwa wateja wetu maeneo mbalimbali ya hapa Tanzania Gharama za Greenhouse zinajumuisha vitu vifuatavyo: Kufungiwa Drip irrigation system, Kulima, seed trays, mbegu, kupanda,
Jipatie Miche ya Papai – Aina ya Calina 9Ipb
Habari njema kwa wakulima wa Mwanza. Sasa wakazi wa Mwanza wanaweza kupata miche ya papai kwa ukaribu zaidi. Miche hii ni ile ya papai fupi, inayoitwa Calina 9Ipb. Huzaa ikiwa
Jipatie Mwongozo wa Kilimo Bora cha Papai
Habari ndugu,, Leo nakuletea somo kuhusu kilimo cha papai. Kilimo cha Papai ni fursa ambayo imeanza kukua kwa kasi siku za hivi karibuni na watu wameanza kuingia kwenye fursa hii.
Jipatie Miche Bora ya Matunda MbaliMbali
Jipatie Miche Bora ya Papai, Michungwa, Miembe, Miparachihchi, Pesheni (passion), Limao, Mipera n.k. Tunayo Miche ya Papai ya aina mbalimbali: Mipapai mifupi yenye rangi nyekundu ndani, mipapai mifupi yenye rangi
Jipatie Greenhouse za bei Nafuu:
OFA OFA OFA: Pata Greenhouse kwa bei ya punguzo.Kwa Mwezi March, April na May 2020 tunakuletea OFA maalumu ya kutengenezewa Greenhouse kwa gharama nafuu. Ukubwa wa Greenhouse na bei zake
Protected: CBA and Master Plan
There is no excerpt because this is a protected post.