Eliza: Mkulima wa Papai
Leo tunakwenda kumwangazia mkulima Eliza, mwandada mwenye dhamira ya kufanya makubwa kwenye kilimo. Baada ya miezi kadhaa ya kufanya kazi na Eliza kwenye project yake ya Papai, sasa hivi Eliza
Greenhouse – Fursa na Faida zake
Habari ndugu mjasiriamali wa kilimo ni matumaini yangu unaendelea vizuri na mapambano ya kuelekea kwenye mafanikio kupitia kilimo. Karibu tena katika kona hii ya kupata maarifa ya kilimo. Kutokana na
Greenhouse Mpya – Dege Kigamboni
Project ya Greenhouse hapa Dege, Kigamboni Dar, inaendelea vyema. Leo tumekamilisha zoezi la kufunika. Tunaelekea ukingoni kabisa kukamilisha ujenzi wa project hii. Greenhouse hii ni ndogo na imejengwa nyumbani kabisa
Soko: Je utajuaje kipindi chenye soko zuri?
Kama tulivyoshuhudia hivi karibuni namna bei ya nyanya na vitunguu ilivyopanda hadi kufikia kuwa gumzo kwa taifa zima. Mfano kuna maeneo tenga moja la nyanya la kilo 40 lilifika hadi