Jipatie Miche bora ya Papai za kisasa

Jipatie Miche bora ya Papai za kisasa

Jipatie miche ya Papai za kisasa, iliyoandaliwa kitaalamu.

  • Miche ya Papai za Kisasa (Malkia F1)
  • Miche iliyoandaliwa kitaalamu (Kwa kuzingatia kanuni za uzalishaji miche)
  • Miche yenye afya nzuri (haina wadudu wala magonjwa).
  • Hizi ni papai za kisasa na za muda mfupi ambazo miezi 6 hadi 7 unaanza kuvuna
  • Uhakika wa kuvuna ni Asilimia 100.
  • Vilevile utapatiwa ushauri na maelekezo ya namna ya upandaji na utunzaji shambani.
  • NB: Epuka miche iliyochakachuliwa (wazalishaji wengi wa miche ya papai hawanunui mbegu original, bali wanachukua mbegu kutoka kwenye matunda yaliyoiva, hii hupekelekea miche mingi kuwa midume, na pia uzalishaji kuwa mdogo. Usione miche inauzwa bei rahisi ukaikimbilia, jiridhishe kwanza chanzo cha mbegu alizotumia kuzalishia miche.
  • Bei ya Miche ni 3,000. Hii inajumuisha na gharama za utaalamu wa kupanda na kutunza mimea yako hadi utakapovuna. Ukinunua miche kwetu tunakupa maelekezo na ushauri wa kitaalamu kuanzia kupanda hadi kuvuna. Pia unapewa Mwongozo maalaumu utakakuonyesha shughuli zote za shambani.
  • Punguzo pia lipo kwa miche mingi
  • Weka oda yako kupitia 0763071007

Kwa sasa Miche ya papai inapatikana kwenye vitalu vyetu vya Dar (Ubungo Mawasiliano na Mabwepande)
Tunatuma pia popote ulipo ambako kunafikika na basi za kutokea Dar . Kwa mikoani miche tunaipaki vizuri kwenye maboksi ya mbao (kreti za nyanya) hivyo inafika salama kabisa. Unaweza kucheki picha hapa chini:

Miche ya papai ikiwa kwenye kreti la mbao tayari kwa jili ya kusafirishwa kwenda kwa mteja wetu aliyeko Kahama.

NB:Kwa wakazi wa Dar, tumeanzisha huduma ya ku deliver miche kwa mteja.. Ikiwa huna muda wa kufuata miche, sisi tunakuletea poppte ulipo (kisha unalipa pale unapofikishiwa miche yako).

Kwa mahitaji ya miche wasiliana nasi kwa simu 0763071007. Karibu sana.

Je wajua Miezi mizuri zaidi ya kupanda Papai ni May, June na July? Je wajua kwanini? Kama wajua kwanini, basi niandikie kupitia email: ushauri@kilimo.net au Whatsapp 0763071007. Pia kama hujui usijali, makala ijayo nitadadavua kwa kirefu kwanini, kama unataka kupiga hela ndefu kwenye kilimo cha papai, ni muhimu upande kati ya mwezi May hadi July.

Mafunzo hayo utayapata hapa www.kilimo.net na kwenye chanel ya Telegram ya Kilimo biashara kuptia link hii hapa: https://t.me/kilimobiashara1

Response to "Jipatie Miche bora ya Papai za kisasa"

  • Leave a Reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *