VITABU: OFA Maalumu kwa Mwezi February 2020

VITABU: OFA Maalumu kwa Mwezi February 2020

OFA Maalumu kwa mwezi February 2020. Sasa unaweza kupata Vitabu 3 kwa punguzo kubwa la bei la 20,000 unapata vitabu vyote 3 badala ya bei yake halisi ya 45,000

Vitabu vilivyopo kwenye OFA hii ni:

  1. Mwongozo wa kilimo biashara cha Vitunguu maji
  2. Mwongozo wa Kilimo cha Tikiti maji
  3. Mwongozo wa Kilimo cha Nyanya

Vitabu hivi vitakupa mwongozo wa hatua kwa hatua kuanzia upandaji, utunzaji/ usimamizi shambani hadi masoko yake. Pia utafahamu mambo gani usifanye ili uepuke hasara zinazowapata wakulima wengi. Na zaidi utafahamu ni wakati gani sahihi wa kupanda ili kukutana na bei nzuri sokoni.

Vitabu hivi vinapatikana kwa mfumo wa nakala tete (softcopy) ambapo unatumiwa kwa njia ya mtandao (email, au Whatsapp).
Unafanya malipo ya 10,000 Kwa mpesa 0763 071007 au Tigo pesa 0712578307
Ukishafanya malipo unatuma Ujumbe wenye Jina na email yako kwenda 0763 071007 au 0712 578307.

*VItabu utavipata ndani ya dakika 5 hadi 10 baada ya kufanya malipo.

NB:
Ukimaliza kusoma vitabu hivi, alafu ukakuta hakuna jipya ulilojifunza, tunakurejeshea fedha yako (If you find what we teach in these books is not new to you we refund your money.. period)

Ukifanyia kazi yaliyomo humu na bado kilimo chako kikabaki vilevile tutakurejeshea mara 3 ya gharama ulizolipia vitabu.

Kwa ushauri wowote kuhusu kilimo wasiliana nasi:

Simu: 0763 071007

EMail: ushauri@kilimo.net

No comments.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *