OFA! OFA! OFA Maalumu – mwisho 31. Dec.2019
Ile Ofa maalumu imerudi tena. Kwa msimu huu wa sikuu za mwisho wa mwaka tunakuletea OFA maalumu ya kupata vitabu 3 vya kilimo kwa punguzo la zaidi ya asimia 70 (Yaani kutoka 45,000 kwa vitabu vyote 3 hadi 10,000 tu)
Vitabu vilivyopo kwenye OFA ni vitabu 3:
1. Mwongozo wa kilimo biashara cha Vitunguu maji
2. Mwongozo wa Kilimo cha Tikiti maji
3. Mwongozo wa Kilimo cha Nyanya
Vitabu hivi vitakupa mwongozo wa hatua kwa hatua kuanzia upandaji, utunzaji/ usimamizi shambani hadi masoko yake. Pia utafahamu mambo gani usifanye ili uepuke hasara zinazowapata wakulima wengi. Na zaidi utafahamu ni wakati gani sahihi wa kupanda ili kukutana na bei nzuri sokoni.
Vitabu hivi 3 unavitapata kwa 10,000 tu badala ya 45,000.
Namna ya Kupata nakala zako:
Vitabu hivi vinapatikana kwa mfumo wa nakala tete (softcopy) ambapo unatumiwa kwa njia ya mtandao (email, telegram, au Whatsapp).
Unafanya malipo ya 10,000 Kwa mpesa 0763 071007 au Tigo pesa 0712578307
Ukishafanya malipo unatuma Ujumbe wenye Jina na email yako kwenda 0763 071007 au 0712 578307.
Kama huna email na ungependa kutumiwa Kitabu kwa Whatsapp basi utatuma ujumbe WhatsApp kwenda namba 0763 071007.
VItabu utavipata ndani ya dakika 5 hadi 10 baada ya kufanya malipo. Kumbuka OFA hii ni OFA maalumu kwa msimu huu wa sikuu ya Pasaka. Ofa hii inaisha 31.12.2019. Ukipitwa na OFA hii ni mpaka tena mwakani mwezi May au December 2020 ndio itarudi tena.
NB:
Ukimaliza kusoma vitabu hivi, alafu ukakuta hakuna jipya ulilojifunza, tunakurejeshea fedha yako (If you find what we teach in these books is not new to you we refund your money.. period)
Ukifanyia kazi yalyomo humu na bado kilimo chako kikabaki vilevile tutakurejeshea mara 3 ya gharama ulizolipia vitabu.
Kwa ushauri wowote kuhusu kilimo wasiliana nasi:
Simu: 0763 071007
EMail: ushauri@kilimo.net
No comments.