Archives : December 9th, 2019

Ongeza Mavuno ya Tikiti Maji kwa Asilimia 80%

Leo ni siku nyingine ambapo tunaendelea kujifunza somo letu kuhusu kilimo cha matikiti maji, kwenye somo lililopita nilikuahidi kuendelea kudadavua mambo muhimu kwenye kilimo cha tikiti kabla hatujaanza zao lingine.

Continue reading

OFA! OFA! OFA Maalumu – mwisho 31. Dec.2019

Ile Ofa maalumu imerudi tena. Kwa msimu huu wa sikuu za mwisho wa mwaka tunakuletea OFA maalumu ya kupata vitabu 3 vya kilimo kwa punguzo la zaidi ya asimia 70

Continue reading