Kuhusu Kilimo Biashara

Kuhusu Kilimo Biashara

Kilimo Biashara ni mtandao (Blog) ambao upo kwa ajili ya kutoa mafunzo na taarifa kwa  wajasiriamali wa kilimo ili  kuwasaidia kuzalisha kwa ubora na kufanya biashara ya kilimo kwa faida.

Kilimo Biashara ipo kwa ajaili ya kuwaunganisha wakulima na pembejeo bora, teknolojia mbalimbali za kilimo pamoja na masoko lenye tija

Kilimo Biashara pia inahamasisha watu hasa vijana kujiingiza kwenye kilimo kwa kutumia mbinu za kisasa zinazoendana na wakati wa sasa na ule ujao.

No comments.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *