Kilimo Bora Cha Migomba
Utangulizi Nchini Tanzania na hata kwingineko katika nchi zingine, wakulima walio wengi hujishughulisha sana kulima mazao mengi ya kibiashara ikiwezo matunda na mbogamboga na kusahau kabisa kilimo cha ndizi ambacho
Matumizi Ya Samadi (Samadi ya kuku, mbuzi na ng’ombe)
Samadi ndiyo mbolea ya kwanza kuwekwa shambani bada ya kulima. Wakulima wengi hutumia mbolea ya samadi ya kuku kutegemeana na uwezekano wa kupatikana. Hata hivyo, samadi za mifugo tofauti zina
Jipatie MICHE BORA YA MATUNDA (Simu: 0763 071007)
Jipatie Miche bora ya matunda mbalimbali kama Papai, Michungwa, Miembe, Miparachihchi, Pesheni (passion), Limao, Mipera, Michenza, Misatafeli, Topetope, Mifenesi minazi, n.k. Embe Miembe ni ile mifupi iliyofanyiwa Grafting. Miaka 3
FAIDA ZA KUUNGANISHA/KUBEBESHA MICHE (Grafting/budding)
Sehemu mbili za mimea ya jamii moja (muembe kwa muembe, mparachichi kwa mparachichi) au miche ya aina tofauti kidogo ila jamii moja (mchungwa kwa mlimao) ndiyo inayoweza kuunganishwa au kubebeshwa.
Faida za Drip Irrigation (Umwagiliaji wa matone)
Umwagiliaji wa matone ni mfumo wa kisasa kwa umwagiliaji wa mimea na hasa mazao. Maji hupelekwa polepole kwa mabomba au mipira yenye matundu madogo moja kwa moja hadi kwenye shina laa
Faida za Miparachichi, Miembe na Michungwa
1.1 MIPARACHICHI Miparachichi imekuwepo nchini kwa miaka mingi. Katika mikoa ya kaskazini (Kilimanjaro na Arusha) pamoja na kutumika kama matunda, maparachichi yalibeba jina la chakula cha mbwa kwa kuwa mara
Mwongozo wa Kilimo Bora cha Papai
Utangulizi:Mapapai ni zao moja kati ya mazao ya matunda yenye vitamini A na madini ya kalsiamu kwa wingi. Inaamanika asili ya papai, ni huko nchi za Amerka ya kati, (Mexico),
OFA ya PASAKA- Mwisho kesho 8.04.2019
Je umeshapata OFA ya PASAKA, ya Vitabu 3? Kama bado wahi mara moja, OFA hii inakwisha kesho Jumapili 8.04.2018Vitabu vilivyopo kwenye OFA ya Pasaka ni vitabu 3:1. Mwongozo wa kilimo
OFA! OFA! OFA! Ni OFA ya PASAKA kwa kila mkulima
Habari za leo mdau wa kilimonatumaini unaendelea vyema. Leo ni siku nyingine ambayo Mwenyezi Mungu ametubariki nayo. Kabla sijakuletea OFA ya Pasaka, napenda kukushirikisha moja ya misingi ya muhimu katika
Kilimo cha Viazi Vitamu (sweet Potatoes)
Viazi vitamu ni moja kati ya mazao makuu ya mizizi nchini Tanzania ambalo hulimwa kwa ajili ya chakula. Zao hili ni moja kati ya mazao ya kinga ya njaa kutokana