Archives : April 22nd, 2019

Jipatie MICHE BORA YA MATUNDA (Simu: 0763 071007)

Jipatie Miche bora ya matunda mbalimbali kama Papai, Michungwa, Miembe, Miparachihchi, Pesheni (passion), Limao, Mipera, Michenza, Misatafeli, Topetope, Mifenesi minazi, n.k. Embe Miembe ni ile mifupi iliyofanyiwa Grafting. Miaka 3

Continue reading

FAIDA ZA KUUNGANISHA/KUBEBESHA MICHE (Grafting/budding)

Sehemu mbili za mimea ya jamii moja (muembe kwa muembe, mparachichi kwa mparachichi) au miche ya aina tofauti kidogo ila jamii moja (mchungwa kwa mlimao) ndiyo inayoweza kuunganishwa au kubebeshwa.

Continue reading