OFA ya PASAKA- Mwisho kesho 8.04.2019

OFA ya PASAKA- Mwisho kesho 8.04.2019

Je umeshapata OFA ya PASAKA, ya Vitabu 3? Kama bado wahi mara moja, OFA hii inakwisha kesho Jumapili 8.04.2018
Vitabu vilivyopo kwenye OFA ya Pasaka ni vitabu 3:
1. Mwongozo wa kilimo biashara cha Vitunguu maji 2. Mwongozo wa Kilimo cha TIkiti maji
3. Mwongozo wa Kilimo cha Nyanya
Vitabu hivi 3 unavitapata kwa 20,000 tu badala ya 45,000. Okoa 25,000


Namna ya Kupata nakala zako:
Vitabu hivi vinapatikana kwa njia ya mtandao (email, telegram, au Whatsapp) Yaani unatumiwa kwenye email au whatsapp.
Unafanya malipo ya 20,000 Kwa mpesa 0763 071007 au Tigo pesa 0712578307
Ukishafanya malipo unatuma Ujumbe wenye Jina na email yako kwenda 0763 071007 au 0712 578307.
Kama huna email na ungependa kutumiwa Kitabu kwa Whatsapp basi utatuma ujumbe WhatsApp kwenda namba 0763 071007. VItabu utavipata ndani ya dakika 5 hadi 10 baada ya kufanya malipo.
Wahi Ujipatie nakala zako kwa bei ya OFA. Kumbuka Mwisho wa OFa ni kesho tarehe 8.04.2018
Ikiwa utapenda kuchukua kitabu kimoja, basi utapatiwa ofa ya 10,000 badala ya 15,000. Ikiwa utahitaji vitabu 2 tu, utapata ofa ya 15,000 badala ya 30,000.

Kwa ushauri wowote kuhusu kilimo wasiliana nasi:
Simu: 0763 071007
EMail: ushauri@kilimo.net

No comments.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *