BLOG

Karibu Kwenye Kilimo Uhakika

Kilimo uhakika ni mpango wa mafunzo na ushauri wa kilimo, ambapo mshauri wako wa kilimo Daudi Mwakalinga anakupa mafunzo na mwongozo wa kuweza kufanya kilimo cha uhakika. Kwa kulipa ada

Continue reading

Kilimo Biashara – Uvunaji wa Karoti

Sasa unaweza kujifunza namna ya kuvuna karoti kitaalamu. Tazama video hapa chini: Kwa Ushauri wa Kitaalamu tucheki kupitia 0763071007 Kuhusu miche bora ya matunda: bonyeza hapa: https://kilimo.net/2019/04/22/miche-bora-ya-matunda-simu-0763-071007/

FURSA KUPITIA TEKNOLOJIA YA KILIMO CHA GREENHOUSE

Habari ndugu mjasiriamali wa kilimo ni matumaini yangu unaendelea vizuri na mapambano ya kuelekea kwenye mafanikio kupitia kilimo. Karibu tena katika kona hii ya kupata maarifa ya kilimo. Kutokana na

Continue reading

Kilimo Bora cha Nyanya, Lima Kitaalamu na Kibiashara

Habari ndugu msomaji wetu wa blog ya Kilimo Biashara, Natumaini unaendelea vyema. Leo tutaanza kujifunza kilimo cha bora cha nyanya, na tutaanza kufahamu vitu vya msingi kwanza, na natumaini ukimaliza

Continue reading

KILIMO CHA MATIKITI MAJI KIBIASHARA

Habari ndugu, natumaini unaendelea vyema na juhudi za kuelekea kwenye mafanikio. Nina uhakika kabisa unatamani kutoka hapo ulipo na kufikia mafanikio, hata kama tayari umeshafikia kiwango fulani cha mafanikio nina

Continue reading

MBINU ZA MSINGI ZA KUTHIBITI MAGONJWA NA WADUDU KATIKA KILIMO CHA MBOGA

Habari ndugu mkulima mwenzangu, ni matumaini yangu unaendelea vyema katika safari ya kusaka mafanikio. Kitu cha muhimu sana unachopaswa kufahamu ni kwamba Mafanikiokatika jambo lolote hutegemea sana na kiwango cha

Continue reading

UZALISHAJI WA VITUNGUU KIBIASHARA – LIMA KIJANJA (SMART FARMING)

Habari rafiki, Natumaini unaendelea vyema kabisa na harakati za kusaka mafanikio kupitia kilimo. Nitumie fursaa hii kukukaribisha sana kwenye blog hii ya kilimo (www.kilimo.net), kupitia blog hii utajifunza kila kitu

Continue reading

Mambo matano ya muhimu kuyafahamu kabla ya kuwekeza kwenye Kilimo

Habari ndugu msomaji wa blog ya Kilimo Biashara, napenda kukaribisha katika  mafunzo ya kilimo yatakayokua yanakujia hapa, lengo ni kuhakikisha unapata elimu na maarifa ya jinsi ya kufanya kilimo chako

Continue reading