Karibu Kwenye Kilimo Uhakika
Kilimo uhakika ni mpango wa mafunzo na ushauri wa kilimo, ambapo mshauri wako wa kilimo Daudi Mwakalinga anakupa mafunzo na mwongozo wa kuweza kufanya kilimo cha uhakika.
Kwa kulipa ada kidogo, unaweza kupata mafunzo ya karibu ya kujihakikishia kufanikiwa kwenye kilimo.
Karibu sana kwenye KILIMO UHAKIKA tufanye kazi pamoja.
No comments.