Faida za Greenhouse
Greenhouse(Banda Kitalu):ni teknolojia ya kuipatia mimea mazingira mazuri ambayo yataisaidia mimea/mazao kumea vizuri na kua na uzao mkubwa, mimea hii inapandwa kwenye banda, au nyumba maalumu.Teknolojia hii inatumika hasa kuikinga
Udongo na Umhimu wa Kupima Udongo
Habari mdau wa kilimo Leo tunakwenda kujifunza kuhusu Udongo, aina za udongo, virutubisho vilivyopo kwenye udongo pamoja na upimaji wa udongo. Udongo ni nini? Udongo ni tabaka juu ya
Teknolojia ya umwagiliaji wa matone (Drip Irrigation Technology)
Hii ni njia ya kumwagilia mmea kwa kutumia tone (matone) la maji kwa muda husika, ambapo bomba dogo huundwa kwa kuwekewa matundu madogo madogo kwa kuzingatia mmea ulipo kwaajili ya
OFA! OFA! OFA! Jipatie Miongozo ya Kulima Kitaalamu
Habari njema Leo Kilimo Biashara tunapenda kukujulisha kwamba ile OFA ya mwezi February 2017 imerejea tena. Ni ile OFA ya Master plan na CBA (cost benefit analysis). Baada ya kuuliziwa
OFA! OFA! OFA! Pata Greenhouse kwa bei ya Punguzo – October 2017
Habari mjasiriamali wa kilimo Hivi karibuni tulitoa mafunzo ya killimo cha kisasa cha kutumia teknolojia ya Greenhouse. Mrejesho kutoka kwa wasomaji ulikua ni mkubwa na watu wengi walionyesha kufurahia sana
Kitabu Kipya: Kilimo cha Nyanya, Mbinu za Uzalishaji wenye Faida kubwa
Jipatie nakala yako ya Kitabu kipya cha Kilimo cha Nyanya. Baadhi ya Mambo utakayojifunza kwenye Kitabu hichi. Utajifunza kuhusu sifa za udongo, Mazingira, hali ya hewa, inayofaa kwa ajili ya
Epuka hasara kwenye Kilimo Kwa Kufahamu jambo Hili Muhimu
Habari za leo mjasiriamali wa Kilimo. Ni matumaini yangu kabisa unaendelea vyema. Leo napenda tujifunze jambo muhimu katika mafanikio ya kilimo. Nimekutana na wakulima wengi sana wakilalamika kuhusu kupata hasara
Jionee Greenhouse mbalimbali zilizofungwa hivi karibuni
Hizi ni baadhi ya greenhouse ambazo tumewafungiwa wateja wetu maeneo mbalimbali ya hapa Tanzania Gharama za Greenhouse zinajumuisha vitu vifuatavyo: Kufungiwa Drip irrigation system, Kulima, seed trays, mbegu, kupanda,
Habari Njema: Kitabu Kipya cha Tikiti Maji sasa kupatikana kwa njia ya Mtandao
Habari njema, Kitabu kipya cha Tikiti Maji sasa kinapatikana kwa njia ya mtandao (email, telegram, na Whatsapp). Baada ya maoni ya wadau (hususani walioko mbali) kuhusu kupata nakala za kitabu
Zawadi ya KITABU cha Kilimo kwa Mwezi August 2017
Habari mjasiriamali wa kilimo, Hongera kwa mapambano ya kusaka mafanikio kupitia Kilimo. Tunafurahi sana kufanya kazi pamoja na Wewe, hususani kwenye eneo la kupeana maarifa ya kilimo biashara. Lengo letu