Jionee Greenhouse mbalimbali zilizofungwa hivi karibuni
Hizi ni baadhi ya greenhouse ambazo tumewafungiwa wateja wetu maeneo mbalimbali ya hapa Tanzania Gharama za Greenhouse zinajumuisha vitu vifuatavyo: Kufungiwa Drip irrigation system, Kulima, seed trays, mbegu, kupanda,