Jionee Greenhouse mbalimbali zilizofungwa hivi karibuni
Hizi ni baadhi ya greenhouse ambazo tumewafungiwa wateja wetu maeneo mbalimbali ya hapa Tanzania

Greenhouse ya Sambarai Kibosho Moshi. Ukubwa ni Mita 6 kwa 96 Bei: Milioni 12.5.

Greenhouse ya MATUNDA MOSHI. Size ni Mita 6 kwa 60. Bei Ni Milioni 8.2

Greenhouse ya MWASONGA KIGAMBONI DAR. Size: Mita 6 kwa 24. Bei Ni Milioni 4.1

Greenhouse ya AMBONI TANGA. Size: Mita 6 kwa 48. Bei: Milioni 7.4
Gharama za Greenhouse zinajumuisha vitu vifuatavyo:
Kufungiwa Drip irrigation system, Kulima, seed trays, mbegu, kupanda, crop support, madawa ya wadudu na magonjwa, Mbolea, Elimu /Mafunzo kwa msimamizi wa greenhouse, kumtembelea mteja kwa mwezi Mara Mbili, Soko. Repair for 3 yrs.
INADUMU miaka 7. TUKO NA MBEGU BORA ZA Chotara (Hybrid F1). WE GO ANY WHERE IN TZ AT NO TRANSPORT COST
Ofa nyingine za Grrenhouse:
- Robo acre Bei: Milioni 24.
Nusu acre Bei: Milioni 38
Acre Moja Bei: Milioni 56 - Acre Tatu Bei: Milioni 96
Pia tunafunga Greenhouse za Ukubwa wowote unaohitaji wewe, iwe ndogo au kubwa. Tenakwa bei nafuu kabisa. Mawasiliano: Simu: 0763 071007 email: ushauri@kilimo.net
Karibu sana
Response to "Jionee Greenhouse mbalimbali zilizofungwa hivi karibuni"
Mnafanya Nazi mzur sana, nimeipenda na mbalikiwe sana.