Habari Njema: Kitabu Kipya cha Tikiti Maji sasa kupatikana kwa njia ya Mtandao

Habari Njema: Kitabu Kipya cha Tikiti Maji sasa kupatikana kwa njia ya Mtandao

Habari njema, Kitabu kipya cha Tikiti Maji sasa kinapatikana kwa njia ya mtandao (email, telegram, na Whatsapp). Baada ya maoni ya wadau (hususani walioko mbali) kuhusu kupata nakala za kitabu hicho kwa njia ya mtandao, tumeona wazo hilo ni zuri. Hivyo basi tunapenda kukutaarifu kwamba kuanzia sasa Kitabu kipya cha Mwongozo wa Kilimo cha Tikiti Maji Kinapatikana kwa njia ya Mtandao. Ndani ya dakika 5 unakua umepata nakala yako popote ulipo duniani.

Mwonekano mpya wa Kitabu: Mwongozo wa Kilimo cha Kisasa cha Matikiti maji


Faida za kupata kupitia Mtandao:

  • Unapata nakala yako ndani ya dakika 5 baada ya kufanya malipo.
  • Hakuna gharama za kutuma. Kwa wale walioko mbali ilikua inabidi kulipia 5,000 zaidi kama gharama za kutuma kwa basi , sasa kwa njia ya mtandao gharama hizo hazipo
  • Unaweza kupata kitabu popote pale ulipo duniani, ili mradi tu uwe na email,whatsapp au telegram.
  • Kuondoa usumbufu wa kufuata kitabu stand ya basi au kwa muuzaji. Sasa hivi Kitabu kinakufuata wewe kwenye simu au kompyuta yako.

Namna ya Kupata nakala yako:
Unafanya malipo ya 10,000 Kwa mpesa 0763 071007 au Tigo pesa 0712578307 (Jina Litaonyesha Daudi Mwakalinga)
Ukishafanya malipo unatuma Ujumbe wenye Jina na email yako kwenda 0763 071007 au 0712 578307. Kama huna email na ungependa kutumiwa Kitabu kwa Whatsapp au Telegram basi utatuma ujumbe WhatsApp au Telgram kwenda namba 0763 071007
Wahi Ujipatie nakala yako pamoja na zawadi ya Kalenda ya masoko. Hii ni kalenda yenye kuonyesha miezi yenye soko zuri kwa mazao mbalimbali hapa nchini. Kalenda hii itatolewa kama bonus kwa wakulima 100 wa kwanza watakaochukua kitabu cha tikiti.
Pia kama utapenda Kujua Yaliyomo Kwenye Kitabu hicho kipya cha tikiti, basi Bonyeza hapa:http://kilimo.net/2017/08/15/kitabu-kipya-mwongozo-wa-kilimo-cha-tikiti-maji/
Ikiwa hukupata Zawadi ya Kitabu kizuri cha Kilimo Bonyeza hapa:ZAWADI YA KITABUKitabu hicho kilitolewa bure kabisa.

Response to "Habari Njema: Kitabu Kipya cha Tikiti Maji sasa kupatikana kwa njia ya Mtandao"

  • Leave a Reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *