OFA! OFA! OFA! Jipatie Miongozo ya Kulima Kitaalamu
Habari njema
Leo Kilimo Biashara tunapenda kukujulisha kwamba ile OFA ya mwezi February 2017 imerejea tena. Ni ile OFA ya Master plan na CBA (cost benefit analysis). Baada ya kuuliziwa kwa muda mrefu sasa imerejea tena ikiwa na mazao mengine 2 mapya.
Ni Punguzo la zaidi ya Asilimia 90% kwenye Huduma Mbili za Kilimo Biashara (CBA na Master Plan). Kutoka 20,000/= (elfu ishirini) hadi 2,000 (Elfu mbili Tu). Yaani sasa hivi unapata CBA na Master Plan ya zao moja kwa 2,000 tu badala ya 20,000/= ya hapo awali.
OFA hii inajumuisha mazao 6 kama ifuatavyo:
- Master plan na CBA ya TIkiti maji
- Master Plan na CBA ya Nyanya
- Master Plan na CBA ya Vitunguu Maji
- Master Plan na CBA ya Pilipili Hoho
- Master Plan na CBA ya Vitunguu Swaumu
- Master plan na CBA ya Papai
Hapa chini tumeweka Maelezo zaidi Kuhusu CBA na Master Plan. Pamoja na Vigezo vya kupata OFA hii:
Huduma ya Kwanza: CBA:
CBA ni kifupicho cha maneno Cost benefit nalysis. Yaani Uchambuzi wa Gharama na Faida. Uchambuzi huu tayari umefanyika kwa mazao 6 (nyanya, vitunguu, Tikiti maji na pilipili hoho, papai na vitunguu swaumu). Tunaendelea na mazao mengine.
CBA inakusaidia kulinganisha miradi kadhaa ili kukusaidia kujua mradi/kilimo cha zao gani kinakufaa zaidi. Mfano unaweza kulinganisha kilimo cha zao la Nyanya, tikiti maji, kitunguu na pilipili hoho.
Itakusaidia kulinganisha mtaji unaohitajika kwenye kila zao pia na Faida itakayopatikana kwa kila zao. Pia itakusaidia kujua Rasilimali zote na gharama zinazohitajika kwenye uwekezaji wa kilimo unachotaka kufanya.
Pia Huduma hii inaambatana na mapendekezo ya mbegu bora. Mbegu mpya zinazofanya vizuri kwenye maeneo mengi ya hapa nchini.
Master Plan – Kua mtaalamu wewe mwenyewe.
Huu ni Muongozo unaomsaidia mkulima kulima kitaalamu hata pasipokua na mtaalamu, yaani akifuatilia muongozo huu anaweza kufanya kulima mazao yake vizuri kabisa. Hii itawasaidia sana wale ambao wanataka kufanya kilimo lakini hawajui kipi kianze na kipi kifuate. Pia utawasaidia kuongeza faida wale ambao wamewahi kulima hayo mazao lakini hawakupata faida waliyotegemea.
Master Plan itakupa muongozo wa shughuli zote zinazotakiwa kufanyika kuanzia kupanda hadi kuvuna. Hii imewekwa kwa mtiririko mzuri unaoleweka
Utafahamu mbolea zote zinazohitajika ambazo ni bora kwa wakati huu, pia utafahamu namna ya kuziweka pamoja na wakati wa kuziweka shambani kulingana na aina ya zao
Utafahamu namna ya kuchanganya mbolea za maji (booster) pamoja na dawa za wadudu au magonjwa. Yaani wakati unaupa mmea mbolea hapohapo unaukinga na wadudu au magonjwa.
Utafahamu namna ya kuchanganya dawa za magonjwa na wa wadudu kwa ajili ya kuzipig kwa pamoja. Hii itakusaidia kuokoa gharama za upigaji piakuleta ufanisi atika kukinga mimea.
Vigezo vya Ofa
Huduma hizi zinapatikana kwa njia ya mtandao (email, au WhatsApp). Unahitajika uwe na email au WhatsApp. Baada ya kutumiwa kwenye email au WhatsApp unaweza kwenda stationery kwa ajili ya kuzi print ili uwe nazo kwenye karatasi
Ili kupata ofa hii utapaswa kuchukua huduma hizi kwa mazao sita (6), yaani nyanya, vitunguu, pilipili hoho, tikiti maji, Vitunguu swaumu na Papai. Kila zao hapo ni 2,000 tu. Hivyo Utapaswa kulipia 12,000 tu kwa mazao hayo yote Sita, badala ya 120,000 ya awali.
Namna ya Kuzipata hizo Master plan na CBA:
Unafanya malipo ya 12,000 Kwa mpesa 0763 071007 au Tigo pesa 0712578307 (Jina Litaonyesha Daudi Mwakalinga)
Ukishafanya malipo unatuma Ujumbe wenye email yako kwenda 0763 071007 au 0712 578307 kisha utatumiwa ndani ya dakika 5. Kama huna email na ungependa kutumiwa kwa WhatsApp basi utatuma ujumbe WhatsApp kwenda namba 0763 071007
Ofa hii ni kwa siku 10 pekee. Kuanzia leo tarehe 28 September hadi 7 October 2017. Baada ya hapo gharama yake itarudia 20,00 kwa zao moja na 120,000 kwa mazao sita.
Ikiwa ulishapata OFA ile ya awali ya mazao manne (nyanya, hoho, vitunguu maji, na tikiti) na ungependa kupata Master plan na CBA ya Vitunguu swaumu basi utalipa 5,000 tu kwa ajili ya hayo mazao mawili (swaumu na papai)
Tunakuhakikishia kwamba kwa hiyo 2,000 ( 12,00 kwa mazao sita) utakayolipa kupata huduma hizi lazima utaona thamani yake.
NB: Ikiwa wewe ni member wa program ya Kilimo Uhakika,
OFA juu ya OFA: Pia utapatiwa Ripoti ya mienendo ya bei za mazao mbalimbali. Ripoti hii itakuonyesha ni wakati bei zinakua nzuri na wakati gani bei zinaporomoka. Vilevile utafahamu ni wakati gani sahihi wa kupanda ili uvune wakati wa bei nzuri, ili kupata faida kubwa.
Kwa swali lolote kuhusu kilimo au ushauri, au kupata huduma zetu Waweza kuwasiliana nasi kwa Namba 0763 071007 au kupitia email yetu: ushauri@kilimo.net
Asante na Karibu sana.
Hapa chini nimekuwekea moja ya mirejesho kutoka kwa wadau mbalimbali waliotumia huduma zetu za master plan na CBA.
Response to "OFA! OFA! OFA! Jipatie Miongozo ya Kulima Kitaalamu"
Habari ,bado mnatoa miongozo ya mazao?
Nahitaji mwongozo wa matikiti ,vitunguu na papai