Category : Soko

SEMINA YA KILIMO BIASHARA KWA NJIA YA MTANDAO

Habari ndugu mjasiriamali wa Kilimo, ni matumaini yetu kwamba unaendelea vyema na mapambano ya kuelekea kwenye mafanikio. Mtandao wa Kilimo Biashara (kilimo.net) unatarajia kuendesha mafunzo ya kilimo na masoko kupitia

Continue reading

Jipatie Miche ya Papai – Aina ya Calina 9Ipb

Habari njema kwa wakulima wa Mwanza. Sasa wakazi wa Mwanza wanaweza kupata miche ya papai kwa ukaribu zaidi. Miche hii ni ile ya papai fupi, inayoitwa Calina 9Ipb. Huzaa ikiwa

Continue reading

Zawadi ya Kitabu kizuri cha Kilimo kwa Mwezi May 2017

Habari za leo mjasiriamali wa kilimo. Leo tumekuandalia zawadi nzuri sana kwa mwezi huu wa tano (May). Ila kabla ya kukupatia zawadi hizo, ningependa kukushirikisha moja ya vitu vya msingi

Continue reading

Bei ya Vitunguu katika masoko mbalimbali

Leo tarehe 29.04.2017 Bei ya Kitunguu kwenye masoko mbalimbali ni kama ifuatavyo: Kariakoo: 150,000TSh./Gunia120Kg Lushoto: 100,000TSh./Gunia100Kg Kirumba: 125,000TSh./Gunia100Kg Arusha: 100,000TSh./Gunia100Kg Makambako: 75,000TSh./Gunia120Kg Morogoro: 130,000TSh./Gunia100Kg Soweto: 105,000TSh./Gunia120Kg Mwanjelwa: 146,000TSh./Gunia120Kg Mwanakwerekwe ZnZ:

Continue reading

Kuhusu Kilimo Biashara

Kilimo Biashara ni mtandao (Blog) ambao upo kwa ajili ya kutoa mafunzo na taarifa kwa  wajasiriamali wa kilimo ili  kuwasaidia kuzalisha kwa ubora na kufanya biashara ya kilimo kwa faida.

Continue reading