Zawadi ya Kitabu kizuri cha Kilimo kwa Mwezi May 2017

Zawadi ya Kitabu kizuri cha Kilimo kwa Mwezi May 2017

Habari za leo mjasiriamali wa kilimo.

Leo tumekuandalia zawadi nzuri sana kwa mwezi huu wa tano (May). Ila kabla ya kukupatia zawadi hizo, ningependa kukushirikisha moja ya vitu vya msingi sana katika mafanikio yako. Ni hivi:  Kiwango cha mafanikio yako katika eneo lotote (iwe biashara, kilimo n.k) kinategemea sana na kiwango cha Maarifa ulichonacho kwenye hilo eneo. Hivyo basi ili ufanikiwe sana kwenye kilimo unahitaji pia kujifunza sana, unahitaji maarifa sahihi. Mtandao wa Kilimo biashara (kilimo.net) kwa  kutambua hilo ndio maana tupo kwa ajili ya kukusaidia kupata maarifa hayo. Ndio maana tumeona ni vizuri tukakupatia zawadi ya maarifa ambayo ni Jarida zuri la Kilimo Bora cha Vitunguu maji. Jarida au Kijitabu hichi ni cha kiswahili na kimeandikwa vizuri sana. Utajifunza utaalamu wa shambani, kuanzia kupanda hadi kuvuna. Pia utajifunza mienendo ya soko la vitunguu na bei zake.
Vilevile Utajifunza kwa Video namna ya uvunaji na uhifadhi wa Vitunguu.
Kupata zawadi hiyo bonyeza hii link hapa chini:

https://landing.mailerlite.com/webforms/landing/j6m0p6
 
Huduma na Bidhaa: Pia unaweza kupata huduma zetu au bidhaa kwa bei ya OFA. Mfano wa Huduma na bidhaa zetu ni kama Miongozo ya Kulima Kitaalamu, Miche ya Mipapai, Miembe na mbegu za mazao mbalimbali, Greenhouse, Mifumo ya umwagiliaji kwa njia ya matone (Drip Irrigation) n.k. Kupata Huduma zetu hizo Ingia kwenye Link hii hapa: http://kilimo.net/category/huduma/
Kwa swali lolote kuhusu kilimo au ushauri, au kupata huduma zetu Waweza kuwasiliana nasi kwa Namba 0763 071007 au kupitia email yetu: ushauri@kilimo.net
Asante na Karibu sana.
 

Response to "Zawadi ya Kitabu kizuri cha Kilimo kwa Mwezi May 2017"

  • I’m over enciuos in nature with issues regarding KILIMO. I hope it is time to get what i have been looking for !..

  • Kilimo ni kila kitu!. Bila shaka elimu muitoayo ni nyenzo tosha ya kubadilisha hali ya maisha ya wenye kukithamini kilimo !. SHUKRANI ZA DHATI ZIWAFIKIE !.

  • Leave a Reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *