Kilimo Bora cha Nyanya, Lima Kitaalamu na Kibiashara
Habari ndugu msomaji wetu wa blog ya Kilimo Biashara, Natumaini unaendelea vyema. Leo tutaanza kujifunza kilimo cha bora cha nyanya, na tutaanza kufahamu vitu vya msingi kwanza, na natumaini ukimaliza
KILIMO CHA MATIKITI MAJI KIBIASHARA
Habari ndugu, natumaini unaendelea vyema na juhudi za kuelekea kwenye mafanikio. Nina uhakika kabisa unatamani kutoka hapo ulipo na kufikia mafanikio, hata kama tayari umeshafikia kiwango fulani cha mafanikio nina
MBINU ZA MSINGI ZA KUTHIBITI MAGONJWA NA WADUDU KATIKA KILIMO CHA MBOGA
Habari ndugu mkulima mwenzangu, ni matumaini yangu unaendelea vyema katika safari ya kusaka mafanikio. Kitu cha muhimu sana unachopaswa kufahamu ni kwamba Mafanikiokatika jambo lolote hutegemea sana na kiwango cha
UZALISHAJI WA VITUNGUU KIBIASHARA – LIMA KIJANJA (SMART FARMING)
Habari rafiki, Natumaini unaendelea vyema kabisa na harakati za kusaka mafanikio kupitia kilimo. Nitumie fursaa hii kukukaribisha sana kwenye blog hii ya kilimo (www.kilimo.net), kupitia blog hii utajifunza kila kitu
Mambo matano ya muhimu kuyafahamu kabla ya kuwekeza kwenye Kilimo
Habari ndugu msomaji wa blog ya Kilimo Biashara, napenda kukaribisha katika mafunzo ya kilimo yatakayokua yanakujia hapa, lengo ni kuhakikisha unapata elimu na maarifa ya jinsi ya kufanya kilimo chako
Haya Ndio Mapinduzi Makubwa Tunayohitaji Ili Kufanikiwa Kwenye Kilimo.
Sekta ya kilimo ndio sekta inayoajri watu wengi kwa hapa Tanznia inakaridiriwa zaidi ya aslimia 80 ya watanznaia wanategemea sekta hii aidha moja kwa moja au wananufaika kwa namna moja
Kuhusu Kilimo Biashara
Kilimo Biashara ni mtandao (Blog) ambao upo kwa ajili ya kutoa mafunzo na taarifa kwa wajasiriamali wa kilimo ili kuwasaidia kuzalisha kwa ubora na kufanya biashara ya kilimo kwa faida.