Jipatie Miche ya Papai – Aina ya Calina 9Ipb
Habari njema kwa wakulima wa Mwanza. Sasa wakazi wa Mwanza wanaweza kupata miche ya papai kwa ukaribu zaidi. Miche hii ni ile ya papai fupi, inayoitwa Calina 9Ipb. Huzaa ikiwa mifupi sana, matunda yake ni imara na yanaweza kudumu kwa muda mrefu baada ya kuvuna bila kuharibika. Yanafaa sana kwa kusafirisha kwenda masoko ya mbali bila kuharibika.
Mahali: Nyegezi Mwanza
Bei ya Miche: 4,000 (kwa mche)
Mawasiliano: 0759 535535 (Mr. Daniel)
Kwa Picha mbalimbali za Calina Ipb9 bonyeza link hii hapa: http://wp.me/p8tHEo-bi
No comments.