Umwagiliaji wa Matone kwenye Kilimo cha Mahindi Mabichi (Ya Kuchoma): Njia ya Kuongeza Tija na Faida
1. Utangulizi Kilimo cha mahindi mabichi (ya kuchoma) ni fursa kubwa ya biashara kwa wakulima nchini Tanzania, hasa katika maeneo ya pembezoni mwa miji mikubwa kama Dar es Salaam, Dodoma,
Umuhimu wa Kutumia Drip Irrigation Katika Kilimo cha Mboga kwa Faida Kubwa
UtanguliziKwa mkulima yeyote anayelenga kupata faida kubwa na kupunguza gharama za uzalishaji, mfumo wa drip irrigation (umwagiliaji wa matone) ni suluhisho la kisasa na lenye tija. Nikiwa na uzoefu wa
Siri za Kilimo cha Nazi Chenye Faida Kubwa
Sehemu ya 1: Utangulizi Kilimo cha nazi (Cocos nucifera) kimekuwa nguzo muhimu ya maisha ya watu wengi duniani, hasa katika ukanda wa tropiki. Hata hivyo, wengi hawajui kuwa mti huu
Kilimo cha Papai: Fursa ya Dhahabu kwa Wakulima wa Kisasa
Utangulizi Papai ni zao lenye thamani kubwa linalolimwa na kupendwa na walaji wengi kwa sababu ya ladha yake tamu, lishe bora, na matumizi mbalimbali. Kwa mkulima wa kisasa, papai siyo
Faida za Kilimo cha Nazi
Kilimo cha Nazi (Coconut Farming) Utangulizi Miti ya nazi (Cocos nucifera) ni moja ya mazao ya kudumu yenye thamani kubwa ulimwenguni, na pia ni zao lenye nafasi kubwa ya kibiashara
Vifaa vya Drip Irrigation
Karibu Upate Huduma ya kufungiwa Drip Irrigation kwenye shamba lako kwa bei nafuu kabisa. Tunazo Drip maalamu kwa ajili ya mbogamboga kama Nyanya, Hoho, Vitunguu, nk. Vilevile tunazo Drip maalum
Eliza: Mkulima wa Papai
Leo tunakwenda kumwangazia mkulima Eliza, mwandada mwenye dhamira ya kufanya makubwa kwenye kilimo. Baada ya miezi kadhaa ya kufanya kazi na Eliza kwenye project yake ya Papai, sasa hivi Eliza
Greenhouse – Fursa na Faida zake
Habari ndugu mjasiriamali wa kilimo ni matumaini yangu unaendelea vizuri na mapambano ya kuelekea kwenye mafanikio kupitia kilimo. Karibu tena katika kona hii ya kupata maarifa ya kilimo. Kutokana na
Greenhouse Mpya – Dege Kigamboni
Project ya Greenhouse hapa Dege, Kigamboni Dar, inaendelea vyema. Leo tumekamilisha zoezi la kufunika. Tunaelekea ukingoni kabisa kukamilisha ujenzi wa project hii. Greenhouse hii ni ndogo na imejengwa nyumbani kabisa
Soko: Je utajuaje kipindi chenye soko zuri?
Kama tulivyoshuhudia hivi karibuni namna bei ya nyanya na vitunguu ilivyopanda hadi kufikia kuwa gumzo kwa taifa zima. Mfano kuna maeneo tenga moja la nyanya la kilo 40 lilifika hadi