Jipatie Mwongozo wa Kilimo Bora cha Papai
Habari ndugu,, Leo nakuletea somo kuhusu kilimo cha papai. Kilimo cha Papai ni fursa ambayo imeanza kukua kwa kasi siku za hivi karibuni na watu wameanza kuingia kwenye fursa hii.
Jipatie Miche Bora ya Matunda MbaliMbali
Jipatie Miche Bora ya Papai, Michungwa, Miembe, Miparachihchi, Pesheni (passion), Limao, Mipera n.k. Tunayo Miche ya Papai ya aina mbalimbali: Mipapai mifupi yenye rangi nyekundu ndani, mipapai mifupi yenye rangi
Jipatie Greenhouse za bei Nafuu:
OFA OFA OFA: Pata Greenhouse kwa bei ya punguzo.Kwa Mwezi March, April na May 2020 tunakuletea OFA maalumu ya kutengenezewa Greenhouse kwa gharama nafuu. Ukubwa wa Greenhouse na bei zake
Protected: CBA and Master Plan
There is no excerpt because this is a protected post.
Karibu Kwenye Kilimo Uhakika
Kilimo uhakika ni mpango wa mafunzo na ushauri wa kilimo, ambapo mshauri wako wa kilimo Daudi Mwakalinga anakupa mafunzo na mwongozo wa kuweza kufanya kilimo cha uhakika. Kwa kulipa ada
Kilimo Biashara – Uvunaji wa Karoti
Sasa unaweza kujifunza namna ya kuvuna karoti kitaalamu. Tazama video hapa chini: Kwa Ushauri wa Kitaalamu tucheki kupitia 0763071007 Kuhusu miche bora ya matunda: bonyeza hapa: https://kilimo.net/2019/04/22/miche-bora-ya-matunda-simu-0763-071007/
FURSA KUPITIA TEKNOLOJIA YA KILIMO CHA GREENHOUSE
Habari ndugu mjasiriamali wa kilimo ni matumaini yangu unaendelea vizuri na mapambano ya kuelekea kwenye mafanikio kupitia kilimo. Karibu tena katika kona hii ya kupata maarifa ya kilimo. Kutokana na