Jipatie MICHE BORA YA MATUNDA (Simu: 0763 071007)
Jipatie Miche bora ya matunda mbalimbali kama Papai, Michungwa, Miembe, Miparachihchi, Pesheni (passion), Limao, Mipera, Michenza, Misatafeli, Topetope, Mifenesi minazi, n.k.
Embe
Miembe ni ile mifupi iliyofanyiwa Grafting. Miaka 3 tu unaanza kuvuna. Tofauti na ile mingine inayochukua miaka 7 kuanza kutoa matunda. Aina zilizopo ni Apple, Alfonso, Kenti, Red Indian, Apple, Bolibo, Dodo n.k Embe hizi ni zile za muda mfupi

Parachichi:
Miparachichi iliyopo ni ile ya muda mfupi na muda mrefu. Ya muda mfupi iliyopo ni HASS, hii ni chotara (hybrid) na inafaa sana kwa soko la nje. Wakulima wengi wanaolenga soko la ndani na nje wanapanda aina hii.

Chungwa
Chungwa zilizopo ni zile zilizobebeshwa (Budding) ambazo huchukua miaka 3 tu kuanza kuvunwa
.
Papai
Miche ya Papai ipo ile mifupi. Miezi 6 hadi 7 unaanza kuvuna. Aina tulliynayo ni Malkia F1 (yenye rangi nyekundu ndani)
.


Migomba
Aina zilizopo ni: Mzuzu, Mtwike, Bukoba (Nshakara, Nyoya), Kisukari Mshale, Kimalindi nk
Pesheni
Aina zilizopo ni Yellow na Purple:
Aina ya Yellow au Njano: hizi ni zile pesheni za rangi ya njano, hufaa sana maeneo ya joto, na ni nzuri sana kwa juisi, maana sio chachu.
Aina ya Purple:, tunda lake ni la rangi ya zambarau na hufaa zaidi maeneo ya miinuko au sehemu zenye baridi.
Pesheni maeneo ya joto miezi 6 hadi 7 unaanza kuvuna, maeneo ya baridi huchukua miezi 9 hadi 10 kukomaa na kuanza kuvuna.

Kwa sasa tuna vitalu vya miche Dar (Ubungo Mawasiliano) na Morogoro mjini (SUA na Boma road).
Tunatuma pia popote ulipo ambako kunafikika na basi za kutokea Dar au Morogoro.
NB:Kwa wakazi wa Dar, tumeanzisha huduma ya ku deliver miche kwa mteja.. Ikiwa huna muda wa kufuata miche, sisi tunakuletea poppte ulipo (kisha unalipa pale unapofikishiwa miche yako).
Kwa mahitaji ya miche wasiliana nasi kwa simu 0763071007. Karibu sana.
Unaweza kujionea picha mbalimbali za miche hapa chini

Miche ya Michungwa ya muda mfupi 

Miche ikiwa inapelekwa kwa mteja wetu 
Miche ya Papai 
Shamba la mbegu za viazi Lishe 
Miche ya miembe aina ya Dodo 

Miche ya Mistafeli 
Miche ya Mikorosho ya Kisasa 
Ndizi aina ya William 
Miche ya Minazi 
Miche ya papai za kisasa ikiwa kitaluni 
Miche ya papai ikiwa tayari kwa ajili ya kupelekwa shambani kwa mteja 




Ndizi ya kisasa 
Miche ya Miembe mifupi 

Miche ya ndizi Mzuzu, ikiandaliwa kwa ajili ya kupelekwa kwa mteja 
Miche ya Migomba aina ya Mzuzu 
Miche ya Minazi mifupi, ikipelekwa kwa mteja 


Miche ya Papai ikipelekwa kwa mteja 
Papai ikiwa shambani kwa mteja 
Miche ya parachichi, tyari kwa kusafirishwa 
Miche ya Pesheni 
Mwembe Mfupi (aina ya Apple) 
Miche ya Miembe, ikiwa inapelwa kwa mteja wetu 
Mwembe wa kisasa ukiwa umeshazaa matunda ( hapo ni mwaka wa 3) 
Migomba ya kisasa, yenye Drip Irrigation 
Mnazi mfupi 

Miche ya Parachichi ya muda mfupi
Response to "Jipatie MICHE BORA YA MATUNDA (Simu: 0763 071007)"