Ongeza Mavuno ya Tikiti Maji kwa Asilimia 80%
Leo ni siku nyingine ambapo tunaendelea kujifunza somo letu kuhusu kilimo cha matikiti maji, kwenye somo lililopita nilikuahidi kuendelea kudadavua mambo muhimu kwenye kilimo cha tikiti kabla hatujaanza zao lingine.
Jipatie Miche Bora ya Matunda MbaliMbali
Jipatie Miche Bora ya Papai, Michungwa, Miembe, Miparachihchi, Pesheni (passion), Limao, Mipera n.k. Tunayo Miche ya Papai ya aina mbalimbali: Mipapai mifupi yenye rangi nyekundu ndani, mipapai mifupi yenye rangi