Zawadi ya Kitabu kizuri cha Kilimo kwa Mwezi May 2017
Habari za leo mjasiriamali wa kilimo. Leo tumekuandalia zawadi nzuri sana kwa mwezi huu wa tano (May). Ila kabla ya kukupatia zawadi hizo, ningependa kukushirikisha moja ya vitu vya msingi
Bei ya Vitunguu katika masoko mbalimbali
Leo tarehe 29.04.2017 Bei ya Kitunguu kwenye masoko mbalimbali ni kama ifuatavyo: Kariakoo: 150,000TSh./Gunia120Kg Lushoto: 100,000TSh./Gunia100Kg Kirumba: 125,000TSh./Gunia100Kg Arusha: 100,000TSh./Gunia100Kg Makambako: 75,000TSh./Gunia120Kg Morogoro: 130,000TSh./Gunia100Kg Soweto: 105,000TSh./Gunia120Kg Mwanjelwa: 146,000TSh./Gunia120Kg Mwanakwerekwe ZnZ: