Habari Njema: Kitabu Kipya cha Tikiti Maji sasa kupatikana kwa njia ya Mtandao
Habari njema, Kitabu kipya cha Tikiti Maji sasa kinapatikana kwa njia ya mtandao (email, telegram, na Whatsapp). Baada ya maoni ya wadau (hususani walioko mbali) kuhusu kupata nakala za kitabu
Zawadi ya KITABU cha Kilimo kwa Mwezi August 2017
Habari mjasiriamali wa kilimo, Hongera kwa mapambano ya kusaka mafanikio kupitia Kilimo. Tunafurahi sana kufanya kazi pamoja na Wewe, hususani kwenye eneo la kupeana maarifa ya kilimo biashara. Lengo letu