Ongeza Mavuno ya Tikiti Maji kwa Asilimia 80%
Leo ni siku nyingine ambapo tunaendelea kujifunza somo letu kuhusu kilimo cha matikiti maji, kwenye somo lililopita nilikuahidi kuendelea kudadavua mambo muhimu kwenye kilimo cha tikiti kabla hatujaanza zao lingine.