Greenhouse Mpya – Dege Kigamboni
Project ya Greenhouse hapa Dege, Kigamboni Dar, inaendelea vyema. Leo tumekamilisha zoezi la kufunika. Tunaelekea ukingoni kabisa kukamilisha ujenzi wa project hii. Greenhouse hii ni ndogo na imejengwa nyumbani kabisa