Kitabu Kipya: Kilimo cha Nyanya, Mbinu za Uzalishaji wenye Faida kubwa

Kitabu Kipya: Kilimo cha Nyanya, Mbinu za Uzalishaji wenye Faida kubwa

Jipatie nakala yako ya Kitabu kipya cha Kilimo cha Nyanya.
Baadhi ya Mambo utakayojifunza kwenye Kitabu hichi.

  • Utajifunza kuhusu sifa za udongo, Mazingira, hali ya hewa, inayofaa kwa ajili ya kilimo cha Nyanya.
  • Aina za nyanya, na nyanya zinazofaa kwa biashara.
  • Utajifunza namna ya kuandaa kitalu kizuri cha nyanya. Utafahamu aina 3 za matuta ya vitalu vya miche ya nyanya na faida zake, vilevile utafahamu namna ya kutunza miche kitaluni kitaalamu.
  • Utajifunza Kanuni na Mbinu za kuhamisha miche toka Kitaluni kwenda shambani. Hii itasaidia kuepuka miche kufa baada ya kuhamishia shambani. Miche yako itastawi vizuri
  • Uvunaji, na utunzaji wa nyanya baada ya kuvuna. Utajifunza namna ya kuepuka upotevu wa nyanya baada ya kuvuna
  • Utazifahamu na kujifunza mbinu mbalimbali za utunzaji wa shamba lako ili kuongeza uzalishaji.
  • Utafahamu wadudu na magonjwa sumbufu kwenye nyanya, na namna ya kuyathibiti.
  • Masoko: Hapo utafahamu masoko mbalimbali ambapo nyanya zinauzika.
  • Mienendo ya Bei; Utajifunza namna bei za nyanya zinavyobadilikabadilika kwa mwaka mzima. Kipindi gani cha Bei nzuri na kipindi cha bei ndogo
  • Utajifunza namna ya kupata taarifa za soko na wanunuzi kwa kutumia simu yako ya simu: Hapa utaweza kupata mawasiliano ya wanunuzi wa nyanya kupitia simu yako. Pia bei za kila siku za nyanya kutoka kwenye masoko makubwa hapa nchini.
  • Utafahamu ni msimu gani mzuri wa kupanda nyanya ili kukutana na bei nzuri sokoni na wewe unufaike kwa faida kubwa.
  • Utafhamu mchanganuo wa gharama na faida kwenye kilimo cha nyanya ekari moja. Hii itakupa picha, kujua kiasi cha mtaji unachopaswa kuwa nacho ili kulima nayanya, Pia utafahamu faida utakayopata.


Namna ya Kupata nakala yako:
Kitabu hikikinapatikana kwa njia ya mtandao (email, telegram, au Whatsapp) Yaani unatumiwa kwenye eamil au whatsapp. Kwa sasa kitabu hiki kinapatikana kwa bei ya OFA ya 10,000 tu badala ya 15,000.
Unafanya malipo ya 10,000 Kwa mpesa 0763 071007 au Tigo pesa 0712578307 (Jina Litaonyesha Daudi Mwakalinga)
Ukishafanya malipo unatuma Ujumbe wenye Jina na email yako kwenda 0763 071007 au 0712 578307. Kama huna email na ungependa kutumiwa Kitabu kwa Whatsapp au Telegram basi utatuma ujumbe WhatsApp au Telgram kwenda namba 0763 071007
Wahi Ujipatie nakala yako bei ya OFA. OFA hii inaisha 26 September 2017.
Kwa ushauri kuhusu kilimo wasiliana nasi:
Simu 0763 071007 email: ushauri@kilimo.net
Karibu sana

No comments.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *