Mambo matano ya muhimu kuyafahamu kabla ya kuwekeza kwenye Kilimo
Habari ndugu msomaji wa blog ya Kilimo Biashara, napenda kukaribisha katika mafunzo ya kilimo yatakayokua yanakujia hapa, lengo ni kuhakikisha unapata elimu na maarifa ya jinsi ya kufanya kilimo chako