Kilimo Biashara ni mtandao (Blog) ambao upo kwa ajili ya kutoa mafunzo na taarifa kwa wajasiriamali wa kilimo ili kuwasaidia kuzalisha kwa ubora na kufanya biashara ya kilimo kwa faida. Kilimo Biashara ipo kwa ajaili ya kuwaunganisha wakulima na pembejeo bora, teknolojia mbalimbali za kilimo pamoja na masoko lenye tija Kilimo Biashara pia inahamasisha watu hasa vijana kujiingiza kwenye kilimo kwa kutumia mbinu za kisasa zinazoendana na wakati wa sasa na ule ujao.
0763071007