Jipatie Muongozo wa Kilimo cha Vitunguu Swaumu

Jipatie Muongozo wa Kilimo cha Vitunguu Swaumu

Habari za leo Mjasiriamali wa kilimo, mtandao wako wa kilimo.net unakuletea Muongozo wa kulima Kitaalamu zao la Vitunguu swaumu (Master Plan) pamoja na Mchanganuo wa gharama na faida za kilimo hicho (cost benefit analysis, CBA) . 

Vitunguu swaumu ni moja ya mazao yenye faida kubwa sana. Ni miongoni mwa mazao yenye thamani kubwa  kitaalamu tunayaita high value crops. Ikiwa mkulima atafata kanuni sahihi, kupata faida kubwa ni jambo la uhakika. Changamoto yake ni kilimo kinachohitaji mtaji  mkubwa kiasi. Tumeandaa Mchanganuo wa gharama na faida  ya zao hili, Pamoja na Mwongozo wa hatua kwa hatua kuanzia upandaji hadi uvunaji. Tunao ushuhuda wa mkulima aliyetumia mwongozo wetu, na akafanikiwa kutengeneza zaidi ya milioni 60, ambapo alilima ekari 5. 

Unaweza kupata maelezo zaidi hapa chini: 

Baadhi ya Yaliyomo kwenye Mchanganuo wa gharama na faida za Kilimo cha vitunguu (Cost benefit Analysis – CBA)

  • Gharama za Uzalishaji (Mtaji) wa Vitunguu swaumu kwa ekari moja. Hapa utajua kama unahitaji kuanza mradi wa vitunguu swaumu uwe na kiasi gani cha mtaji
  • Rasimali zote zinazohitaji kwenye Kilimo cha vitunguu swaumu gharama zake. Mfano mbegu, na bei zake, Madawa na gharama zake, mbolea, vibarua, n.k
  • Makadirio ya Mavuno na Kipato utakachopata. Hapa utafahamu Faida inayopatikana kwa kuwekeza kwenye vitunguu swaumu.

Baadhi ya Yaliyomo kwenye Muongozo (Master Plan):

  • Uandaaji wa shamba, na namna ya kutengeneza vitalu vya kupandia vitunguu swaumu.
  • Programu ya upigaji dawa za magonjwa na wadudu kuanzia mwanzo hadi mwisho. Hapa tumependekeza dawa zenye ufanisi mzuri kwenye kudhibiti magonjwa na wadudu wasumbufu kwenye kilimo cha vitunguu swaumu.
  • Programu ya Uwekaji Mbolea: kuanzia mbolea ya kupandia hadi mbolea za kukifnya kitunguu swaumu kijijenga vizuri. Wakati gani wa kuweka mbolea hizo, na  kiwango cha kuweka kwa mmea. Pia utajua namna ya kuchanganya mbolea mbili kwa uwiano mzuri wenye kuleta matokeo mazuri. Hapa Utazifahamu mbolea sita muhimu kwa vitunguu swaumu na namna ya uwekaji wake.
  • Programu ya Mbolea za majani (Booster): hapa utazifahamu mbolea zote za majani kuanzia za wakati mimea ni midogo hadi zile za kipindi vitunguu vimekaribia kukomaa. Ili kuleta ufanisi zaidi tumeonyesha namna ya kuchanganya mbolea hizi za majani (boosters) na dawa za wadudu. Hapa utazifahamu boosters (mbolea za majani) 4 muhimu kwa ajili ya kuweka kwenye kitunguu swaumu. Utafahamu wakati gani wa kupiga kila aina ya booster na kiwango sahihi cha upigaji.
  • Programu ya Umwagiliaji: Hapa utafahamu kiwango cha maji kinachohitajika kwenye kila hatua ya ukuaji ya Vitunguu swaumu. Pia utafahmu ni wakati gani wa kumwagilia kila siku, na ratiba ya wiki. Kuna wakati kitunguu swaumu hakihitaji maji, utafahamu ni wakati gani usimwagilie.
  • Shughuli nyingine zote muhimu zipo, na zimewekwa kwa mtiririko mzuri ambao kila mkulima ataelewa vizuri.

Gharama ya Master Plan na CBA (Muongozo na Mchanganuo). Kwa sasa 
Master plan na CBA ya Vitunguu swaumu zitapatikana kwa Ofa ya punguzo la bei la 15,000 badala ya bei yake hali ya 20,000=.
Namna ya kupata Master Plan na CBA:

Mwongozo huu unapatikana kwa mfumo wa nakala tete (softcopy) ambapo unatumiwa kwa njia ya mtandao (email, telegram, au Whatsapp).
Unafanya malipo ya 15,000 Kwa mpesa 0763 071007 au Tigo pesa 0712578307
Ukishafanya malipo unatuma Ujumbe wenye Jina na email yako kwenda 0763 071007 au 0712 578307.

Kama huna email na ungependa kutumiwa kwa Whatsapp basi utatuma ujumbe WhatsApp kwenda namba 0763 071007. 
Mwongozo huu  utaupata ndani ya dakika 5 hadi 10 baada ya kufanya malipo.

Pia mazao mengine ambayo Miongozo yake ipo tayari, ni Vitunguu maji, Tikiti maji, Nyanya, Pilipili Hoho na Papai
Karibu sana
Kujifunza zaidi kuhusu kilimo biashara tembelea: www.kilimo.net Hapo utajifunza bure kabisa.

Response to "Jipatie Muongozo wa Kilimo cha Vitunguu Swaumu"

  • Nyie kama mnataka kuelimisha wakulima juu ya kilimo bora, toeni elimu bure, hakuna mkulima wa kununua hizo plan zenu, mnapoteza muda.

  • Leave a Reply to Mbwiga mwambani Cancel reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *