Teknolojia ya umwagiliaji wa matone (Drip Irrigation Technology)

Teknolojia ya umwagiliaji wa matone (Drip Irrigation Technology)

Teknolojia ya umwagiliaji wa matone (Drip Irrigation Technnology)



Hii ni njia ya kumwagilia mmea kwa kutumia tone (matone) la maji kwa muda husika, ambapo bomba dogo huundwa kwa kuwekewa matundu madogo madogo kwa kuzingatia mmea ulipo kwaajili ya kuupa maji mmea muda wote,
KILIMO CHA MATONE UNATUMIA MASHINE AU MKONO?
-Umwagiliaji huu unaweza kuendeshwa kwa mashine au kwa mkono lakini katika kurahisisha kilimo wateja wetu wengi hupenda kutumia njia ya mashine.
Umwagiliaji huu pia unaweza fanyika kwa mazao yaliyo mengi ikiwemo ya mboga mboga,
matunda na hata nafaka. Katika maeneo yaliyo mengi umwagiliaji huu wakulima hupendelea
kuufanya kwa mazao ya matunda na mboga mboga.
FAIDA YA UMWAGILIAJI WA MATONE.

  1. Hupunguza gharama za wasaidizi shambani.
  2. Mmonyoko wa udongo ni mdogo sana na kufanya kutunza ardhi.
  3. Mgawanyo wa maji katika mimea ni sawa.
  4. Kubwa zaidi njia hii Huokoa muda.
  5. Matumizi ya maji ni yenye mafanikio makubwa.
  6. Nazaidi ya zaidi Mavuno ni ya uhakika

Natumaini utakuwa umenufaika kwa kiasi kikubwa na somo hili juu ya Kilimo cha umwagiliaji wa Matone(DRIP IRRIGATION)
Je unahitaji kufungiwa mfumo hu shambani kwako???? na kwa gharama nafuu sana kuliko kwengine?? usipate tabu Wasiliana nasi kwa simu namba: 0763 071007

Response to "Teknolojia ya umwagiliaji wa matone (Drip Irrigation Technology)"

  • Msaada wa namna ya upatikanaji wa vifaa vya umwagiliaji wa MATONE na makisio ya mahitaji kwa ajili ya bustani za maua na matunda.Ukubwa wa eneo si zaidi ya roboekari.
    ASANTE.

  • Leave a Reply to KENETH KIPAKO (0756853867) Cancel reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *