OFA! OFA! OFA! Pata Greenhouse kwa bei ya Punguzo – October 2017

OFA! OFA! OFA! Pata Greenhouse kwa bei ya Punguzo – October 2017

Habari mjasiriamali wa kilimo
Hivi karibuni tulitoa mafunzo ya killimo cha kisasa cha kutumia teknolojia ya Greenhouse. Mrejesho kutoka kwa wasomaji ulikua ni mkubwa na watu wengi walionyesha kufurahia sana elimu ile. Na wapo wengi waliohamasika na walitamani sana kuingia kwenye uwekezaji wa kilimo cha Greenhouse.
Ikiwa hukupata somo kuhusu teknolojia ya kilimo cha greenhouse basi unaweza kulipata Somo hilo hapa. bonyeza hii link hapa:http://kilimo.net/2017/02/10/fursa-kupitia-teknolojia-ya-kilimo-cha-greenhouse/
Pamoja na kwamba watu wengi wameonyesha nia ya kutaka kuingia kwenye kilimo cha greenhouse, wapo baadhi pia walisema teknolojia hiyo ni nzuri ila changamoto ni gharama yake. Katika kusaidia wale wenye nia haswa ya kuwekeza kwenye teknolojia hii, ila wamekua gharama imekua ni changamoto, tumekuja na OFa kwa ajili yao. Kwa mwezi October tutatoa OFA ya Punguzo la ufungaji wa Greenhouse. OFA ina jumuisha vitu vinne:

  1. Kupunguza gharama ya greenhouse. Punguzo la bei litakua kuanzia 10% hadi 30% kutegemeana na ukubwa wa greenhouse au nethouse
  2. Ongezeko la vifaa au huduma, mfano tank la maji. Awali tank la maji ilikua ni juu ya mteja, ila kwa mwezi huu wa October mteja atapatiwa Tank la maji bure kabisa. Tank la Maji kuanzia lita 500,1000, 2000 n.k Ukubwa wa tank la maji utategemeana na ukubwa wa greenhouse au net house.
  3. Kuingizwa kwenye mpango wa kupatiwa soko la bidhaa. Tumekua tunapata wateja wanaohitaji bidhaa zinazolimwa kwenye greenhouse kama vile nyanya, hoho nk Mfano kwa sasa hivi tuna soko linalohitaji nyanya tani 1.5 hadi 3 kila wiki, na bado hawajatapatikana wakulima wakutosha kuuza kwenye soko hili. Hata asilimia 10 bado hawajaweza kufikia. Hivyo wateja wetu wa mwezi October wataingizwa kwenye mpango wa kutafutiwa masoko kama huo na mengine.
  4. Hakuna gharama za usafiri. Awali mteja alikua anachangia gharama za kusafirisha materials mpaka Site anakotaka kufunga greenhouse. Kwa mwezi huu wa October, mteja hatachangia gharama za usafiri.

Hizo ni baadhi ya OFA zitakazotolewa, Maalum kwa mwezi October 2017.
Hapa chini nimekuwekea baadhi ya Size za Greenhouse/ net house pamoja na gharama zake.
Ukubwa wa Greenhouse na bei zake:
Mita 6 kwa 24 Milioni 5.2 (Badala ya milioni 6.5)
Mita 6 kwa 12 Milioni 4.0 (badala ya milioni 4.5)
Mita 8 kwa 15 Milioni 5.5 (badala ya milioni 6.5)
Mita 8 kwa 30 Milioni 10.5 (badala ya milioni 14.5)
Mita 16 kwa 30 -Milioni 15 (badala ya milioni 19.5)
NET HOUSE Hizi zinafaa sana kwa yale maeneo ya joto.
Mita 6 kwa 12- Milioni 3.5 (badala ya 4m)
Mita 8 kwa 15 Milioni 4.5 (badala ya 5m)
Mita 8 kwa 30- Milioni 9 (badala ya 10.5m)
Mita 16 kwa 30 Milioni 12 (Badala ya 15.6m)
NB: Tutakufungia Ukubwa wowote unaotaka kulingana na bajeti yako. Tuambie bajeti yako, nasi tukushauri size ya greenhouse inayokufaa.
Package ya greenhouse au nethouse inakuwa Na vitu vifuatavyo:
Utapewa Elimu Kwanza ya Kutosha Greenhouse/ Net House na Drip Irrigation
-Kujengewa greenhouse / Net house Kwa kutumia Miti Imara ya Miti, inayodumu Kwa Miaka kuanzia 15. Kufanya Repair ni baada ya mwaka 1 Ni sisi tunakufanyia hiyo repair na Ni bure.
Kufungiwa vifaa vya umwagiliaji matone( drip irrigation)
Kupewa mbegu ya zao unalohitaji na yenye kutoa mazao mengi
Tray za kupandia
Udongo Maalum wa Kupandia
Kufungiwa crop support
Kupandiwa
-Unakabidhiwa greenhouse/Net House ,ikiwa imekamilika na kwa kila kitu
Kutembelewa na Kupewa ushauri wa mara kwa mara
Kupima Udongo
-Ushauri wa Kitaaalam ili utoe mazao Organic
Tutakusaidia kuhifadhi kitaalam, kwenye kontena Maalum Kwa ajili ya kusafirisha kupeleka sokoni.
Tutakufuata popote pale ulipo Tanzania Tanzania
N.B: Gharama za usafiri ni za kwetu, na wala sio lazima wewe kulipa advance. Unaweza kulipia baada ya kazi yako kukamilika.
Ikiwa Utahitajii Fursa hii ya OFA ya kufungiwa Greenhouse kwa Mwezi October, basi wasiliana nasi mapema kabla ya tarehe 3.10.2017
Kwa Mawasiliano
Piga: 0763 071007
email: ushauri@kilimo.net
Kujifunza Zaidi tembelea: www.kilimo.net

Response to "OFA! OFA! OFA! Pata Greenhouse kwa bei ya Punguzo – October 2017"

  • Samahan mnaweza kunisidia kwan mm nina eneo la kilimo kama heka tatu pia nina kisima pale pale lkn naitaji sana kulima kilimo cha kwenye green house lkn shida ni mtaji kama itawezekana mwaweza nipatia hata net house mkanitengenezea pia tukawa tunalipana taratibu? Samahan sana kwa hilo!

  • Leave a Reply to George lugiko Cancel reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *