Jipatie Greenhouse za bei Nafuu:

Jipatie Greenhouse za bei Nafuu:

OFA OFA OFA: Pata Greenhouse kwa bei ya punguzo.
Kwa Mwezi March, April na May 2020 tunakuletea OFA maalumu ya kutengenezewa Greenhouse kwa gharama nafuu.

Ukubwa wa Greenhouse na bei zake za OFA:

Mita 8 kwa 15 Milioni 5 (badala ya 6M)
Mita 6 kwa 24 Milioni 6.5 (Badala ya 7.2M)
Mita 8 kwa 30 Milioni 9 (Badala ya 12)
Mita 15 kwa 30 -Milioni 17 (Badala ya 19M)

NB: Tutakufungia Ukubwa wowote unaotaka kulingana na bajeti yako

OFA hii pia itaambatana na Package ya vitu vifuatavyo:

Upimaji wa udongo. Kupimiwa udongo wa eneo ambalo GH inajengwa, ili kujua sifa za udongo na virutubisho vilivyomo. Hii itasaidia pia kujua aina za mbolea zitakazotumika.
Kufungiwa vifaa vya umwagiliaji matone (drip irrigation)

Tenki la maji. Utafungiwa tank la Maji kuanzia lita 1000, 2000, 5000 n.k kutokana na ukubwa wa Greenhouse

– Mbegu/Miche. Utapatiwa mbegu au miche ya zao unalotaka kulima
Kufungiwa crop support- hizi zinasaidia kushikilia mazao kwenye Greenhouse

Upandaji. Tunakusaidia kupanda miche/mbegu za zao tulilokubaliana. -Unakabidhiwa greenhouse/ikiwa imekamilika kila kitu, kazi yako ni kuanza kuhudumia tu.

Mafunzo. Tunatoa mafunzo (training) ya usimamizi wa Greenhouse kwa mfanyakazi wako ambaye atakua anahudumia Greenhouse. Mafunzo haya yatafanyika kwa muda wa miezi 2 hadi 3.
Kutembelewa na Kupewa ushauri wa mara kwa mara

Masoko. Tunatoa usaidizi katika kutafuta na kuunganishwa na soko la uhakika.
Tutakufuata popote pale ulipo Tanzania

NB: OFA hii ni maalumu kwa Mwezi March 2020.
Simu: 0763 071007
email: ushauri@kilimo.net

Response to "Jipatie Greenhouse za bei Nafuu:"

    • Je mnatengeneza green house ya chuma ya 16 x 30? Na gharama ikoje?
      Pili hiyo package Ni sehemu ya malipo au mteja atatakiwa kulipia mfano kukunua simtank?

      • Habari Gikanka. Ndio tunatengeneza greenhouse ya chuma ya 16 kwa 30. Kujua gharama yake tucheki kupitia 0763 071007. Hiyo package hapo ni imejumuishwa kwenye hayo malipo. Mfano unapolipia Greenhouse ya 5.5m, ina maana unatengenezewa Greenhouse pamoja na hivyo vilivyopo hapo kwa gharama hiyo hiyo.

  • Nimefurahi sana kukutana na andiko lenu juhusu ujenzi wa ‘Greenhouse’ na ‘package you offer’. Nitawatafuta soon kwa sasa nafanya maandalizi muhimu kuhusu kilimo biashara. Asante sana.

  • Habari, nipo singida, naomba kujua gharama ya utengenezaji wa GH yenye ukubwa wa 8×30, na pia naomba kujua green house ulizoainisha juu zinajengwa kwa chuma au mbao, na gharama ulizotoa zitahusisha uoteshaji hadi upandaji? Kusudio langu ni kulima nyanya.

  • Habari za kazi nimevutiwa na tangazo lenu.
    Nahitaji greenhouse ya 4 by 8 ndogo tu ya nyumbani ya kujifunzia kwanza kabla sijaanza kuwekeza kwenye greenhouse kubwa.
    Nahitaji bei zenu na mnipe mchoro wa hiyo greenhouse nione.

    Nipo Dar. Tabata Kinyerezi

  • Leave a Reply to Gikanka Cancel reply

    Your email address will not be published. Required fields are marked *